Vodacom Tanzania wamezindua rasmi huduma ya "e-SIM"

Kiswahili kimefanywa kuwa kigumu sana hakieleweki, pelekeni tangazo lenu BAKITA au TUKI wakaliweke vizuri liwanufaishe walengwa siyo hiki cha kwenye translator ya mtandaoni
 
Kiswahili kimefanywa kuwa kigumu sana hakieleweki, pelekeni tangazo lenu BAKITA au TUKI wakaliweke vizuri liwanufaishe walengwa siyo hiki cha kwenye translator ya mtandaoni
ipo hivi, kuna simu zina sim card(line) malaya kwa ndani, line haitoki as iko embedded kwa motherboard ya simu

sim card ambayo inakubali mtandao wowote ule ikiwa programmed na configurations za mtandao huo

wanachokupa hao Voda au Airtel ni configurations ambazo utaingiza kwenye simu,
configurations zitatengeneza profile za mtandao, so utawezakuwa na profiles za mitandao kadhaa

ukitaka tumia Voda, unachagua profile ya Voda, kisha simu ita search mtandao wa Voda toka kwenye mnara wa karibu

ukitaka tumia Airtel unachagua profile ya Airtel, nk
 
Kiongozi umefafanua vizuri nimekuelwa vizuri mno, Mungu akuzidishie karama hiyo ikawanufaishe wengine wengi zaidi
 
Voda wakuajiri boss
 
Now Airtel, Vodacom na tiGO washaleta hii huduma..

1. Airtel ku activate ni bure

2. Vodacom ku activate ni 6000

3. tiGO ku activate ni 5000

.............................................................................
 
Unaweza kuweka hz zote kwa simu moja
 
Unaweza kuweka hz zote kwa simu moja
Yeah! Inawezekana, brands kama Samsung na iPhones zina uwezo wa kuweka profiles za e-SIM mpaka 20 ila kwa Google Pixels mwisho 5 nafikiri..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…