Vodacom Tanzania wamezindua rasmi huduma ya "e-SIM"

Vodacom Tanzania wamezindua rasmi huduma ya "e-SIM"

ipo hivi, kuna simu zina sim card(line) malaya kwa ndani, line haitoki as iko embedded kwa motherboard ya simu

sim card ambayo inakubali mtandao wowote ule ikiwa programmed na configurations za mtandao huo

wanachokupa hao Voda au Airtel ni configurations ambazo utaingiza kwenye simu,
configurations zitatengeneza profile za mtandao, so utawezakuwa na profiles za mitandao kadhaa

ukitaka tumia Voda, unachagua profile ya Voda, kisha simu ita search mtandao wa Voda toka kwenye mnara wa karibu

ukitaka tumia Airtel unachagua profile ya Airtel, nk
Yes.
Mfano Iphone unaweza kuunga eSim hata zaidi ya 8.
 
Back
Top Bottom