huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,520
- 1,462
Habarini za asubuhi wanajamvi.....
Si kawaida Voda kutokuwalipa mawakala wao wanaotoa huduma kwa wateja wao mpaka sasa muda huu napoandika Uzi huu,
Huwa ukiamka asubuhi siku ya tarehe 1 unakuta message ya kamisheni kwenye simu yako lakin Leo mpaka sasa hakuna kitu kulikoni?
Je humu jamvini kuna wakala wa MPESA
na mpaka sasa haoni chochote kwenye simu yake?
Si kawaida Voda kutokuwalipa mawakala wao mpaka sasa
Kama kuna tatizo kwanini hawakutoa taarifa mapema kwamba hawatopewa kamisheni Leo?
Mwenye kujua tatizo atusaidie...
Duuu mkuu, ndio hela pekee uliyokuwa unategemea kwa mwezi huu nini? Anyway, sasa hivi makampuni mengi yako kwenye hali mbaya. Ngoja tuone kama watatekeleza utaratibu.
Piga simu , huduma Kwa wateja vodacom , u
tapata jibu sahihi.Utaratibu wa kuuliza humu,utashindwa kupata jibu sahihi
Njaa Mzee
Mambo IPO Ttcl mkuu
Kamisheni zenyewe za kipumbavu sana. Yaani mtu anatoa laki mbili yeye anakatwa elfu 5 af wewe wakala unaambulia mia sita. Huo si Ugolo? yaani hamna biashara ya kijinga kama uwakala huu. Kwa jicho LA nje watu wanaona kama ni biashara nzuri ila ukiingia ni upuuzi tu. Kuna watu ndio wanafaidi kama wakala mkuu na voda wenyewe ila we unaepingwa jua na kuzungufusha pesa yako ni njaa tu. Unapewa mpaka sh 100 kwa muamala wa elf 10? Ndio maana Mzee wakala hapo juu anawenge anaulizia kamisheni saa moja asubuhi ya tar 1 as if tar 1 imaisha bila kupewa hyo kamisheni ya elf 43 kwa mwezi.Habarini za asubuhi wanajamvi.....
Si kawaida Voda kutokuwalipa mawakala wao wanaotoa huduma kwa wateja wao mpaka sasa muda huu napoandika Uzi huu,
Huwa ukiamka asubuhi siku ya tarehe 1 unakuta message ya kamisheni kwenye simu yako lakin Leo mpaka sasa hakuna kitu kulikoni?
Je humu jamvini kuna wakala wa MPESA
na mpaka sasa haoni chochote kwenye simu yake?
Si kawaida Voda kutokuwalipa mawakala wao mpaka sasa
Kama kuna tatizo kwanini hawakutoa taarifa mapema kwamba hawatopewa kamisheni Leo?
Mwenye kujua tatizo atusaidie...
Kumbe...Kamisheni zenyewe za kipumbavu sana. Yaani mtu anatoa laki mbili yeye anakatwa elfu 5 af wewe wakala unaambulia mia sita. Huo si Ugolo? yaani hamna biashara ya kijinga kama uwakala huu. Kwa jicho LA nje watu wanaona kama ni biashara nzuri ila ukiingia ni upuuzi tu. Kuna watu ndio wanafaidi kama wakala mkuu na voda wenyewe ila we unaepingwa jua na kuzungufusha pesa yako ni njaa tu. Unapewa mpaka sh 100 kwa muamala wa elf 10? Ndio maana Mzee wakala hapo juu anawenge anaulizia kamisheni saa moja asubuhi ya tar 1 as if tar 1 imaisha bila kupewa hyo kamisheni ya elf 43 kwa mwezi.
Umenena, nilifanya hii biashara nikaajiri mtu. Kuna siku nikaamua kuchukua kitabu cha miamala na kupiga hesabu kujua anayefaidi zaidi ni nani kati yangu na voda. Nilijiona ni kibarua tu. Niliwauzia wanaohitaji kuwa vibarua. Sio biashara hiyoKamisheni zenyewe za kipumbavu sana. Yaani mtu anatoa laki mbili yeye anakatwa elfu 5 af wewe wakala unaambulia mia sita. Huo si Ugolo? yaani hamna biashara ya kijinga kama uwakala huu. Kwa jicho LA nje watu wanaona kama ni biashara nzuri ila ukiingia ni upuuzi tu. Kuna watu ndio wanafaidi kama wakala mkuu na voda wenyewe ila we unaepingwa jua na kuzungufusha pesa yako ni njaa tu. Unapewa mpaka sh 100 kwa muamala wa elf 10? Ndio maana Mzee wakala hapo juu anawenge anaulizia kamisheni saa moja asubuhi ya tar 1 as if tar 1 imaisha bila kupewa hyo kamisheni ya elf 43 kwa mwezi.
Kamisheni zenyewe za kipumbavu sana. Yaani mtu anatoa laki mbili yeye anakatwa elfu 5 af wewe wakala unaambulia mia sita. Huo si Ugolo? yaani hamna biashara ya kijinga kama uwakala huu. Kwa jicho LA nje watu wanaona kama ni biashara nzuri ila ukiingia ni upuuzi tu. Kuna watu ndio wanafaidi kama wakala mkuu na voda wenyewe ila we unaepingwa jua na kuzungufusha pesa yako ni njaa tu. Unapewa mpaka sh 100 kwa muamala wa elf 10? Ndio maana Mzee wakala hapo juu anawenge anaulizia kamisheni saa moja asubuhi ya tar 1 as if tar 1 imaisha bila kupewa hyo kamisheni ya elf 43 kwa mwezi.
Daaa upuuzi mtupu,yaani kwenye buku 5 napewa Tsh 600? Khaaaaa!!Kamisheni zenyewe za kipumbavu sana. Yaani mtu anatoa laki mbili yeye anakatwa elfu 5 af wewe wakala unaambulia mia sita. Huo si Ugolo? yaani hamna biashara ya kijinga kama uwakala huu. Kwa jicho LA nje watu wanaona kama ni biashara nzuri ila ukiingia ni upuuzi tu. Kuna watu ndio wanafaidi kama wakala mkuu na voda wenyewe ila we unaepingwa jua na kuzungufusha pesa yako ni njaa tu. Unapewa mpaka sh 100 kwa muamala wa elf 10? Ndio maana Mzee wakala hapo juu anawenge anaulizia kamisheni saa moja asubuhi ya tar 1 as if tar 1 imaisha bila kupewa hyo kamisheni ya elf 43 kwa mwezi.