Vodacom Tanzania yapata CEO Mpya, Hisham Hendi raia wa Misri

Mimi ni Mtanzania ninayependa kuangalia mambo objectively. Siyo bendera kufuata upepo. Nakubaliana na wewe. Huu ni ujinga uliokithiri. Syvia wa Kenya alibaguliwa kwa sababu ya ngozi yake. Ni bora angebaguliwa na Wazungu. Hili la kubaguliwa na Weusi wenzie linasikitisha sana. Kama kweli walimaanisha kuwa kuna Watanzania wenye uwezo wa kuongoza Vodacom kwa nini wametuletea raia wa Misri? Aliyempa kibali Mmisri hakukumbuka kuwa alimnyima kibali Mkenya? Umoja wetu wa EAC uko wapi?

 
Ameteuliwa na kampuni ila bado hajapata kibari cha kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Point unayo mahala fulani lakini unachanganya mambo mjomba..
Sidhani kama kuna mtambo wa General tyre uliibiwa na kupelekwa YANA Kenya.

Kutumia watu wenye ujuzi zaidi yenu kutoka mahala fulani tofauti na nyie sio dhambi, hapo ndipo pale TISS wanatakiwa wafanye kazi kuhahakisha huyo mtu muhimu yupo kwa manufaa ya Watanzania na tanzania.
 
Sijaona hoja yoyote zaidi ya chuki na ubishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unawapa kazi ngumu hao. Wao wanachojua ni kupambana na upinzani hasa wanaomkosoa MH

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Uko misinformed. Baada ya post ya CEO kuna routes mbili tu; uende kwenye taasisi nyingine uongoze huko au ustaafu hiyo field uende field nyinginezo.

The immediate past CEO wa Vodacom Tanzania alikuwa CEO wa Vodacom hiyo hiyo Lesotho akawa promoted to a larger market. Na alishashika madaraka mengine kabla ya hayo ingekuwa the end asingetoka Lesotho to Tanzania.

Rene Meza CEO kabla ya Ian alikuwa CEO wa Tigo, akaenda kuwa CEO wa Airtel Kenya akaja kuwa CEO Vodacom Tanzania. Alipoondoka Tanzania alienda kuwa CEO Ooredoo Mynmar mpaka alipostaafu.

Huyu Hendi atamaliza hapa ataenda pengine kuwa CEO
 
Wewe ndio choka mbaya kabisa! Hujui mambo ya uchumi yanaendaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Jiwe anadhani anaweza kuwakomoa Wakenya halafu akabaki salama. Mungu Jehovah tuonee huruma viumbe wako wa nchi hii. Tunakusihi kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth mwana wako na Bwana wetu.
 
umeweka suala hili vizuri kbs... thanks...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…