Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hamna Mtanzania mwenye sifa za kuchukua nafasi hiyo paka walete mwaarabu.......unakata mwana Africa mashariki mkenya unaleta mwaarabu.....hiyo ndotatizo la nchi ambazo hazinaga sera maalumu ya nchi za nje(clear foreign policy) nchi inaendesha kwa matakua ya viongozi wa siasa.Hii ya serikali kumkataa Mkenya na kumkubali Mmisri sijaikubali kabisa... waarabu sio watu. Wabaguzi sanaView attachment 1055046
Sent using Jamii Forums mobile app
Wrong Vodacom SA is also owned by Vodafone UK!Issue sio kwamba kampuni ni yetu au sio yetu bali ni kampuni inayofanya kazi Tanzania! Bila kujali inamilikiwa na nani, huwezi kupuuza ajira walizonazo Watanzania kutoka Vodacom! Huwezi kupuuza kodi inayolipwa na Vodacom!!! Huwezi kupuuza biashara kadhaa zinazotokana na uwepo wa Vodacom! Lakini kubwa zaidi, huwezi kupuuza kwamba Vodacom ipo listed Dar es salaam Stock Exchange na kwahiyo kuna maelfu ya Watanzania wenye hisa zao Vodacom kupitia 25% ya hisa ambazo ziliingizwa sokoni!
Lakini pamoja na hayo, Rostam Aziz alikuwa anamiliki zaidi ya 25% ya hisa za Vodacom ambazo iliripotiwa aliziuza au yupo njiani kuziuza baada ya kukubaliwa na mamlaka! You never know, labda mnunuzi au wanunuzi wa hizo 25+% ya hisa za Rostam ni pamoja na Watanzania!!!
So, kampuni kama hiyo huwezi kusema awe Mkenya au Mzulu, it doesn't matter kwa sababu Vodacom ni ya SA!!!
Vigezo na masharti ya nafasi husika alikosaKwanini tulimfukuza yule dada wa Kenya?
Jamaa aliposema kuwa Vodacom Tz si Wabongo ni ya SA nilidhani sijui biashara maanake nakumbuka wabongo akiwemo uliemtaja wana shares kubwa tu.Issue sio kwamba kampuni ni yetu au sio yetu bali ni kampuni inayofanya kazi Tanzania! Bila kujali inamilikiwa na nani, huwezi kupuuza ajira walizonazo Watanzania kutoka Vodacom! Huwezi kupuuza kodi inayolipwa na Vodacom!!! Huwezi kupuuza biashara kadhaa zinazotokana na uwepo wa Vodacom! Lakini kubwa zaidi, huwezi kupuuza kwamba Vodacom ipo listed Dar es salaam Stock Exchange na kwahiyo kuna maelfu ya Watanzania wenye hisa zao Vodacom kupitia 25% ya hisa ambazo ziliingizwa sokoni!
Lakini pamoja na hayo, Rostam Aziz alikuwa anamiliki zaidi ya 25% ya hisa za Vodacom ambazo iliripotiwa aliziuza au yupo njiani kuziuza baada ya kukubaliwa na mamlaka! You never know, labda mnunuzi au wanunuzi wa hizo 25+% ya hisa za Rostam ni pamoja na Watanzania!!!
So, kampuni kama hiyo huwezi kusema awe Mkenya au Mzulu, it doesn't matter kwa sababu Vodacom ni ya SA!!!
Hujamuelewa, huyu anapinga na mtu alisema haijalishi ceo ni nani kwasababu voda ni ya SA.Wrong Vodacom SA is also owned by Vodafone UK!
Sio kweli. Maelezo yaliyotolewa ni kwamba nafasi hiyo inaweza kujazwa na mtanzania. Ni ujuha mtupu.
Vodacom is not SA but UK owned via Vodafone Plc!Hujamuelewa, huyu anapinga na mtu alisema haijalishi ceo ni nani kwasababu voda ni ya SA.
Umenisoma vizuri lakini?! Hivi mjadala ni Vodacom SA au Vodacom TZ ambayo ndiyo subsidiary ya Vodacom Group SA?Wrong Vodacom SA is also owned by Vodafone UK!
Tatizo watz Wengi janja janja nyingi, ila hapa kwa mmisri tumeingia mkenge maana hawa jamaa wametushinda hata sisi kwa udokozi.Mbona watanzani hao hao tukiwa nje tunafanya vizuri, kwanini hawakumtafuta mtanzani wa hapo hapo nyumbani kuendesha hiyo kampuni? Haya mambo ya infiriority complex yananiudhi sana.
Watanzania tunaweza - JPM
Unachanganya madesa! Mjadala hapa ni Vodacom TZ ambayo ni subsidiary ya Vodacom Group SA! Ni Vodacom Group SA ambayo ndiyo ni subsidiary ya Vodafone UK!Vodacom is not SA but UK owned via Vodafone Plc!
Kwahiyo hamna Mtanzania mwenye sifa za kuchukua nafasi hiyo paka walete mwaarabu.......unakata mwana Africa mashariki mkenya unaleta mwaarabu.....hiyo ndotatizo la nchi ambazo hazinaga sera maalumu ya nchi za nje(clear foreign policy) nchi inaendesha kwa matakua ya viongozi wa siasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo watz Wengi janja janja nyingi, ila hapa kwa mmisri tumeingia mkenge maana hawa jamaa wametushinda hata sisi kwa udokozi.