Vodacom Tanzania yapata CEO Mpya, Hisham Hendi raia wa Misri

Tatizo watz Wengi janja janja nyingi, ila hapa kwa mmisri tumeingia mkenge maana hawa jamaa wametushinda hata sisi kwa udokozi.
Wasichoelewa watu ni kuwa tunapokuwa na watu wetu juu, inasaidi kujenga jamii inayojiamini. Watoto wanapoona meneja wa kampuni kubwa ya simu anafanana na mwalimu wake wa jiografia, mtoto anaona hata yeye anaweza fika huko, tofauti na hapo tunajenga jamii isiyokuwa ya kujiamini.
 
Mbona watanzani hao hao tukiwa nje tunafanya vizuri, kwanini hawakumtafuta mtanzani wa hapo hapo nyumbani kuendesha hiyo kampuni? Haya mambo ya infiriority complex yananiudhi sana.

Watanzania tunaweza - JPM

Huku nje watazania tunafanya vizuri kwa sababu hatuibi na ukumbuke nafasi tunazopewa huku siyo za kuweza kuiba.

Hapo nchini watanzania hamfanyi kazi mnaishia kupigana majungu kwenye korido za ofisini. Tena wanaofanya kazi mnawapiga majungu. Mtapataje viongozi katika umarehemu huu.

Nyinyi mnapaswa kupewa vyeo vya usimamizi tu, yaani kutumwa huku na kule, basi. Vyeo hivyo vinawafanya muonekan mko busy na mnachelewa urudi nyumbani na mtaani mnajulikana kama mko busy kweli.

Hakuna watu wanaoonekana wako busy kama wanaofanya kazi VODACOM. Kama hajawahi kuliona hili anza kulidadisi leo hii. Wamewahi kuwa rafiki zangu ninawajua. Mko kwenye baa hawaachi kupigiana simu kuelekezana kazi.

Kumbe yote hayo ni bure tu hawana uwezo wa kuongoza kampuni kama VODACOM, mtafanya makosa kuwahurumia hawa.
 
Huyu jamaa ana asili ya Misri lakini amekua akifa nya kazi na hio kampuni ya Vodacoma Tanzania kwa miaka mingi kama ilivyoonesha kwenye hio public notice, ila kwa wewe mleta mada jinsi ulivyoiwasilisha ni tafkiri huyu bwana anatoka Misri sasa hivi na kuja kua MD wakati amekua Acting MD kwa muda mrefu tangu yule mama alivyomataliwa..ila kuna jambo linachekesha jamaa ana Bachelor tu ila wabongo wengi wanavyeti vingi i.e masters lakini hawali uteuzi ...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani uzinguzii huuu dadekiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachanganya madesa! Mjadala hapa ni Vodacom TZ ambayo ni subsidiary ya Vodacom Group SA! Ni Vodacom Group SA ambayo ndiyo ni subsidiary ya Vodafone UK!
Wewe ndo unachanganya whatever Vodacom TZ makes the lion share goes to Vodafone Plc as owns Vodacom SA! Technically Vodafone UK is the owner! SA owns MTN n not Vodacom. Vodacom SA is just a caretaker just like a caretaker for Safaricom!
 
huu ukweli mchungu

Huku nje watazania tunafanya vizuri kwa sababu hatuibi na ukumbuke nafasi tunazopewa huku siyo za kuweza kuiba.

Hapo nchini watanzania hamfanyi kazi mnaishia kupigana majungu kwenye korido za ofisini. Tena wanaofanya kazi mnawapiga majungu. Mtapataje viongozi katika umarehemu huu.

Nyinyi mnapaswa kupewa vyeo vya usimamizi tu, yaani kutumwa huku na kule, basi. Vyeo hivyo vinawafanya muonekan mko busy na mnachelewa urudi nyumbani na mtaani mnajulikana kama mko busy kweli.

Hakuna watu wanaoonekana wako busy kama wanaofanya kazi VODACOM. Kama hajawahi kuliona hili anza kulidadisi leo hii. Wamewahi kuwa rafiki zangu ninawajua. Mko kwenye baa hawaachi kupigiana simu kuelekezana kazi.

Kumbe yote hayo ni bure tu hawana uwezo wa kuongoza kampuni kama VODACOM, mtafanya makosa kuwahurumia hawa.
 
Ali Mafuruki mwenyewe alisema hakuna mtanzania anayeweza kuongoza kampuni kama VODACOM. Katika hili tumuunge mkono. Kuna watanzania wamo VODACOM tangu imeanzishwa yaani wana miaka 19 sasa ndani ya VODACOM.

Hawa wana kazi ya kutueleza VODACOM waliitumia vipi kukuza ujuzi wao kuiongoza. Je walipanda (ku-grow) kimaisha au walipnada kiujuzi.
Hamna bana. Walishaona hamna mtanzania mwengine mwenye vigezo ispokuwa Mchaga tuu
 
Huku nje watazania tunafanya vizuri kwa sababu hatuibi na ukumbuke nafasi tunazopewa huku siyo za kuweza kuiba.

Hapo nchini watanzania hamfanyi kazi mnaishia kupigana majungu kwenye korido za ofisini. Tena wanaofanya kazi mnawapiga majungu. Mtapataje viongozi katika umarehemu huu.

Nyinyi mnapaswa kupewa vyeo vya usimamizi tu, yaani kutumwa huku na kule, basi. Vyeo hivyo vinawafanya muonekan mko busy na mnachelewa urudi nyumbani na mtaani mnajulikana kama mko busy kweli.

Hakuna watu wanaoonekana wako busy kama wanaofanya kazi VODACOM. Kama hajawahi kuliona hili anza kulidadisi leo hii. Wamewahi kuwa rafiki zangu ninawajua. Mko kwenye baa hawaachi kupigiana simu kuelekezana kazi.

Kumbe yote hayo ni bure tu hawana uwezo wa kuongoza kampuni kama VODACOM, mtafanya makosa kuwahurumia hawa.
Naelewa kuna ubabaishaji mwingi tuu, lakini hii dhana eti watanzania wote wako hivyo siyo kweli. Wapo wachapakazi na waaminifu kabisa kabisa.

Hivi wewe unafikiri watanzania wote wangekuwa wababaishaji, Tanzania ingesimama kama ilivyo? Rwanda, Burundi,Congo,Uganda na hata Kenya zote hizo ni njiti moja tuu, zote zinalipuka. Lakini si Tanzania.

Narudia tena kama sisi wote ni wababaishaji, Ali Mufuruki anafanya nini hapo, si awapishe wageni?
 
Issue sio kwamba kampuni ni yetu au sio yetu bali ni kampuni inayofanya kazi Tanzania! Bila kujali inamilikiwa na nani, huwezi kupuuza ajira walizonazo Watanzania kutoka Vodacom! Huwezi kupuuza kodi inayolipwa na Vodacom!!! Huwezi kupuuza biashara kadhaa zinazotokana na uwepo wa Vodacom! Lakini kubwa zaidi, huwezi kupuuza kwamba Vodacom ipo listed Dar es salaam Stock Exchange na kwahiyo kuna maelfu ya Watanzania wenye hisa zao Vodacom kupitia 25% ya hisa ambazo ziliingizwa sokoni!

Lakini pamoja na hayo, Rostam Aziz alikuwa anamiliki zaidi ya 25% ya hisa za Vodacom ambazo iliripotiwa aliziuza au yupo njiani kuziuza baada ya kukubaliwa na mamlaka! You never know, labda mnunuzi au wanunuzi wa hizo 25+% ya hisa za Rostam ni pamoja na Watanzania!!!

So, kampuni kama hiyo huwezi kusema awe Mkenya au Mzulu, it doesn't matter kwa sababu Vodacom ni ya SA!!!
It doesnt matter.. vidacom wametoa ajira kibao tanzania.. nafasi moja isikufanye eti ulalamike kuwa tanzania tunaonewa.. hapana.
Tofauti na nafasi nyingine.. hii ni top..leadership position ambayo ni watanzania wachache sana wenye experience na hiyo nafasi. Kampuni kama kampuni kubwa kama ya vodacom lazima waajiri the best person for position kama hiyo. Hawatoweza ku take random person from no where kisa ni mtanzania.. no.. lazima atafutwe the best.
Hizo hisaza 25% ni ndogo sana. Kisheria lazima uwe na hisa atleast 51% ili uweze ku control kampuni.
Sawa rostam kachomoa hisa zake.. what if akachukua mgeni?
Lazima mizan uwe balanced kotekote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa ana asili ya Misri lakini amekua akifa nya kazi na hio kampuni ya Vodacoma Tanzania kwa miaka mingi kama ilivyoonesha kwenye hio public notice, ila kwa wewe mleta mada jinsi ulivyoiwasilisha ni tafkiri huyu bwana anatoka Misri sasa hivi na kuja kua MD wakati amekua Acting MD kwa muda mrefu tangu yule mama alivyomataliwa..ila kuna jambo linachekesha jamaa ana Bachelor tu ila wabongo wengi wanavyeti vingi i.e masters lakini hawali uteuzi ...
Hahahaah mshkaji ana bachelor.. lakin experience ns exposure lazima imbebe. Ndio hapo wabongo tunaoigwa gape

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndo unachanganya whatever Vodacom TZ makes the lion share goes to Vodafone Plc as owns Vodacom SA! Technically Vodafone UK is the owner! SA owns MTN n not Vodacom. Vodacom SA is just a caretaker just like a caretaker for Safaricom!
Kwaheri, naona unataka kuleta ligi zisizo na faida kwangu!!
 
Huku nje watazania tunafanya vizuri kwa sababu hatuibi na ukumbuke nafasi tunazopewa huku siyo za kuweza kuiba.

Hapo nchini watanzania hamfanyi kazi mnaishia kupigana majungu kwenye korido za ofisini. Tena wanaofanya kazi mnawapiga majungu. Mtapataje viongozi katika umarehemu huu.

Nyinyi mnapaswa kupewa vyeo vya usimamizi tu, yaani kutumwa huku na kule, basi. Vyeo hivyo vinawafanya muonekan mko busy na mnachelewa urudi nyumbani na mtaani mnajulikana kama mko busy kweli.

Hakuna watu wanaoonekana wako busy kama wanaofanya kazi VODACOM. Kama hajawahi kuliona hili anza kulidadisi leo hii. Wamewahi kuwa rafiki zangu ninawajua. Mko kwenye baa hawaachi kupigiana simu kuelekezana kazi.

Kumbe yote hayo ni bure tu hawana uwezo wa kuongoza kampuni kama VODACOM, mtafanya makosa kuwahurumia hawa.
Nchi ya watu zaidi ya milioni 50 haiwezi kukosa watu wa kuiongoza Vodacom. Binafsi nakataa, hata kama Tanzani kuna ubabaishaji mwingi sana lakini kusema kwamba hakuna mwenye uwezo wa kuongoza hilo kampuni ni matusi kwa wasomi wote wa Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It doesnt matter.. vidacom wametoa ajira kibao tanzania.. nafasi moja isikufanye eti ulalamike kuwa tanzania tunaonewa.. hapana.
Tofauti na nafasi nyingine.. hii ni top..leadership position ambayo ni watanzania wachache sana wenye experience na hiyo nafasi. Kampuni kama kampuni kubwa kama ya vodacom lazima waajiri the best person for position kama hiyo. Hawatoweza ku take random person from no where kisa ni mtanzania.. no.. lazima atafutwe the best.
Hizo hisaza 25% ni ndogo sana. Kisheria lazima uwe na hisa atleast 51% ili uweze ku control kampuni.
Sawa rostam kachomoa hisa zake.. what if akachukua mgeni?
Lazima mizan uwe balanced kotekote

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaamini hayo maelezo yanahusiana na nilichoandika?! Au kuna mahali nilipolalamika kuhusu uteuzi?!
 
Ali Mafuruki mwenyewe alisema hakuna mtanzania anayeweza kuongoza kampuni kama VODACOM. Katika hili tumuunge mkono. Kuna watanzania wamo VODACOM tangu imeanzishwa yaani wana miaka 19 sasa ndani ya VODACOM.

Hawa wana kazi ya kutueleza VODACOM waliitumia vipi kukuza ujuzi wao kuiongoza. Je walipanda (ku-grow) kimaisha au walipnada kiujuzi.
Kama Ali Mafuruki alisema hivyo basi ni mtu mwenye kiburi sana na mwenye roho ya majivuno. Yeye awe mwenyekiti wa Board ya Vodacom halafu asema hakuna watanzania wanaoweza kuongoza kampuni kama Vodacom kweli: Yeye anajitoa kwenye orodha ya watanzania ??

Hivi ni mtu wa wapi huyu Ali Mafuruki, maana kuna siku nilimsikiliza kwenye TED Talks nikajua anaongea kwa kutaka kurekebisha kumbe ni uzandiki na kiburi.

This is too bad and disappointing....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1054930
Waafrika alieturoga alituweza sana.

Mwaka jana Vodacom ikateua raia mwanamama mmoja kutoka Kenya kuja kua mkurugenzi wake, maneno yakawa maneno kua kwani tumekosa mtanzania wa kushika hizo nafasi na mambo kede kede, serikali ikamnyima kibali cha kazi. Dada wa watu akaendelea na maisha yake huko kwao Kenya.

Sasa Vodacom wameteua mwarabu kutoka Misri kua mkurugenzi wake, zile kelele za mwaka jana hazisikiki tena, maana yake hatutaki waafrika wenzetu ila tunataka watu wenye ngozi nyeupe. Kwanza tunaweza kumnyima mkenya kibali cha kufanya kazi Tanzania ila tukampa mwarabu wa Misri, sijui akili za wapi hizi.

Kwa hiyo ikifika kwa ngozi nyeupe hadithi za wazawa zinakufa, ila ikiwa ni mweusi mwenzetu hadithi za wazawa wapewe fursa ndio zinaibuka.

Binafsi hua sikubaliani na hoja ya uzawa, kwenye ulimwengu ulioendelea watu wenye uwezo binafsi wanataftwa kutoka kila mahali wakafanye mabadiliko na kuongoza taasisi za nchi nyingine. Uingereza ilimkodi Gavana wa benki ya Canada ili awe Gavana wao awasaidie kurekebisha uchumi, mkuu wa Google ni mhindi na mifano iko mingi.

Hoja yangu ni kwamba, kwa nini mkenya tulimkatalia kwa hoja ya uzawa alafu tumekubali mwarabu wa Misri?
hivi misri ipo bara gani?

Hivi tatizo lilikua uwezo au rangi ya mtu? naomba kujuzwa
 
Watanzania Hatuko serious na kazi hatuko smart visingizio kibao kazini mala nimefiwa mala mama anaumwa mala mtoto wangu kafukuzwa ada yote hayo ni matatizo ambayo yanatufanya tuendelee kuwa chini..

Stupidity ya kuwekeza akili zetu nyingi kwenye mambo ya siasa Mapenzi na kufatiliana maisha ndio shida inapokuja tunakosa sifa kwenye mambo mengi ya kibishara ..

Tuwe wakweli Makampuni yanataka watu ambao sio tu wamesoma sana shule no ila wako mentally fit.

Sio unamwajiri mtu kila siku yuko busy kusuruhisha matatizo ya ndoa yake ..

Kampuni kama Vodacom haiwezi kuchukua mtu kama uyo awe mtendaji mkuu.

Tutaendelea kuwa na wahindi warabu na wazungu kibao maana wako na nidhamu ya kazi.
 
Back
Top Bottom