Vodacom Tanzania yashiriki maonesho ya 49 ya Kimataifa Sabasaba jijini Dar es Salaam

Blasio Kachuchu

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
721
Reaction score
438
​
Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania , Philip Besiimire ( Mwenye tisheti nyeupe), pamoja na Mkurugenzi wa Udhibiti wa Hatari na Utii wa Sheria Agapinus Tax (wa kwanza kushoto) wakipewa maelekezo kuhusu televisheni janja (smart screen) inayotoa maelekezo kuhusu bidhaa mbalimbali zinazopatikana katika banda la kampuni hiyo lililoko katika viwanja vya sabasaba ambako maonesho ya 49 ya kimataifa ya Dar es Salaam yanaendelea. Shughuli za kuhamasisha wateja kwenye maonesho ya Sabasaba. Tukio Hilo limetokea leo, katika maadhimisho ya siku ya sabasaba jijini Dare es salaam.

​
Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania , Philip Besiimire (Mwenye tisheti nyeupe), akipewa maelezo kuhusu bidhaa mbalimbali zinazopatikana katika banda la kampuni hiyo lililoko katika viwanja vya sabasaba ambako maonesho ya 49 ya kimataifa ya Dar es Salaam yanaendelea.
 
Hakuna kitu najuta kama kununua hisa za Vodacom
 
Back
Top Bottom