Vodacom Tanzania yazindua maduka jongefu yaliyoboreshwa

Vodacom Tanzania yazindua maduka jongefu yaliyoboreshwa

Blasio Kachuchu

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
721
Reaction score
438

​
• Kupanua Upatikanaji wa Huduma za Kidijitali Nchini
​
Afisa Mtendaji Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Philip Besiimire (kushoto) akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Maduka Jongefu mapya sita yaliyoboreshwa na hivyo kufikisha maduka jongefu 12 yatakayotumika kupeleka huduma za mawasiliano, fedha na dijitali karibu na wananchi hasa katika maeneo ya pembezoni na vijijini.

Huduma zitakazotolewa ni pamoja na usajili wa laini za simu, huduma za M-Pesa, huduma kwa wateja, mauzo ya vifaa vya mawasiliano pamoja na simu janja na elimu ya matumizi ya teknolojia za kidijitali. Tukio hilo lilishuhudiwa na Mkurugenzi wa Fedha wa Vodacom Tanzania PLC Hilda Bujiku (wa tatu kushoto) na Mkurugenzi wa Kitengo cha Biashara wa kampuni hiyo Brigita Shirima (wa pili kushoto). Uzinduzi huo umefanyika Juni 15 2026 makao makuu ya Vodacom Tanzania, jijini Dar Es Salaam.



​
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC wakiwa wamesimama kwenye moja ya Duka Jongefu ambalo ni sehemu ya Maduka Jongefu sita yaliyoboreshwa yatakayotumika kupeleka huduma za mawasiliano, fedha na dijitali karibu na wananchi hasa katika maeneo ya pembezoni na vijijini.

Huduma zitakazotolewa ni pamoja na usajili wa laini za simu, huduma za M-Pesa, huduma kwa wateja, mauzo ya vifaa vya mawasiliano pamoja na simu janja na elimu ya matumizi ya teknolojia za kidijitali.


​
Mkurugenzi wa Kitengo cha Biashara wa kampuni ya Vodacom Tanzania PLC Brigita Shirima akizungumza wakati wa uzinduzi wa Maduka Jongefu mapya sita yaliyoboreshwa na hivyo kufikisha maduka jongefu 12 yatakayotumika kupeleka huduma za mawasiliano, fedha na dijitali karibu na wananchi hasa katika maeneo ya pembezoni na vijijini.

Huduma zitakazotolewa ni pamoja na usajili wa laini za simu, huduma za M-Pesa, huduma kwa wateja, mauzo ya vifaa vya mawasiliano pamoja na simu janja na elimu ya matumizi ya teknolojia za kidijitali.


​
Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Vodacom Tanzania PLC, Philip Besiimire akizungumza wakati wa uzinduzi wa Maduka Jongefu mapya sita yaliyoboreshwa na hivyo kufikisha maduka jongefu 12 yatakayotumika kupeleka huduma za mawasiliano, fedha na dijitali karibu na wananchi hasa katika maeneo ya pembezoni na vijijini.

Huduma zitakazotolewa ni pamoja na usajili wa laini za simu, huduma za M-Pesa, huduma kwa wateja, mauzo ya vifaa vya mawasiliano pamoja na simu janja na elimu ya matumizi ya teknolojia za kidijitali.


​
Menejimenti na baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu Philip Besiimire (aliyevaa suti katikati) wakiwa katika picha ya pamoja baada ya zoezi la uzinduzi wa Maduka Jongefu mapya sita yaliyoboreshwa na yatakayotumika kupeleka huduma za mawasiliano, fedha na dijitali karibu na wananchi hasa katika maeneo ya pembezoni na vijijini.
 
Back
Top Bottom