rich1
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,020
- 3,309
Vodacom tunawaomba mfanye marekebisho kwenye upande wa m-pesa hasa commission tunazopata sisi mawakala n ndogo sana ukilinganisha na mitandao mengine.
Mfano:
1. Mpesa mteja akitoa shs200,000/= wakala anapata commission ya shs 645
2. Halopesa mteja akitoa 200,000/= wakala anapata shs 1390
3. Pia mtoe tozo ya ten percent jumla ya commission mwisho wa mwezi mfano wakala mwisho wa mwezi akipata commission ya shs 100,000/= nyie mnachukua elfu kumi,, wakala anabakia na elfu tisini.