VODACOM Unlimited Internet kwa gharama ya TSh. 70,000/= 10Mbps speed

VODACOM Unlimited Internet kwa gharama ya TSh. 70,000/= 10Mbps speed

de solver

Member
Joined
Feb 1, 2017
Posts
24
Reaction score
44
Kwa watu wa zanzibar naunga unlimited internet ya Vodacom postpaid kwa gharama ya Tsh.70000 (elfu sabini tu) kasi yake ni 10Mbps (postpaid)

IMG-20250108-WA0230.jpg

Kwa mara ya kwanza utalipia Deposit 140000 hapa unapewa na device ya 5G au 4G na device unapata papo hapo ukilipia haina kusubili

IMG-20250526-WA0088.jpg


Kwa wale wa bara nitakuunga bundle hilo hilo kama prepaid ila uwe na device yako (ROUTER)
NICHEKI 0765991551
 
Hiyo free device ina maana gani sasa, kama kuna kulipa 140K tsh
 
Elfu 70 ya kifurushi then 140K ya kununua device, so ni kama 210k.
 
Back
Top Bottom