140k ni security depositElfu 70 ya kifurushi then 140K ya kununua device, so ni kama 210k.
Security deposit ya nini wakati nimeshalipia huduma? Hii kitu ilifanya nivunjevunje line ya tigo post paid, ni wizi.140k ni security deposit
Package ni postpaid