Vodacom wabandua mabango yenye picha za Diamond

Vodacom wabandua mabango yenye picha za Diamond

Sio kilio cha Lara1 bali ni kilio cha MANGE KIMAMBI. Otherwise Lara1 ni Mange kimambi
 
Sasa ngumbaru kama diamond atajua lini English,collabo zote wenzake wanaimba kiingereza yeye anaishia Kiswahili.Mambo yake imeishia hapo...
Acha bhana... kumbe wenzake collabo zote wanaimba kwa Kiingereza?! Na ndio maana sie wengine wala hatukuona sababu ya kutaka kuwa wasomi...
 
Hujui kitu
Voda wanalipa kampuni za mabango kama outdoor kuweka matangazo sehemu fulani kwa muda fulani
Ni kama kodi ya nyumba tu,inawezekana kabisa kodi ya tangazo la voda kwa kampuni hiyo ya mabango kwenye sehemu hiyo imekwisha
Na kila eneo lina kiwango chake cha kodi ndio maana huwezi kukuta bango tandale

Ni Kweli kabisa mkuu kama ni kufuta hadi online wangefanya hivyo...lakini mwambie lara1 aangalia hapa hapa jamii forums upande wa kulia...atakutana na bango la mnyama...aka SIMBA.
 
Kuna uzi humu lara 1 anaelezea jinsi makampuni yalivyopotoka kumtumia Diamond kwa matangazo yake kama humaniser.

Uzi wenyewe ni huu: Pale makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Vodacom

Leo bango la pale Ubungo kona ya kwenda chuo kikuu UDSM wametoa picha ya Diamond na kumuweka dada fulani, pia eneo la Sayansi wametoa picha zake.

Hizo ni sehemu mbili nilizoona kwa leo, nadhani ndani ya wiki huyu jamaa hatakuwa hana bango hata moja.

Sasa sijui ni coincidence au dua la kuku limempata mwewe!
yamebakia humu jamii forums tu..
 
ndio kutoswa huko
Kila tangazo la makampuni ya simu lina target yao isipofikiwa within a period of time wanachange.
Au wanaweza tengeneza tangazo la promotion flani kampuni nyingine ikaja na promotion yenye ubora kuzidi wao basi wanaachana na hiyo wanakuja na nyingine.
Thats how it works huku kitaa watu porojo nyingi
 
Sasa ngumbaru kama diamond atajua lini English,collabo zote wenzake wanaimba kiingereza yeye anaishia Kiswahili.Mambo yake imeishia hapo...
Una wafahamu mafikizolo mbona hawabi kingereza, phyno one of the best rappers wa africa mbona ana rap ki igbo hata collabo zote alizofanya ni igbo.
Acha apaishe kiswahili mziki mzuri ni mzuri tu hata uwe umeimbwa kwa lugha ambayo huielewi.
 
Aha aha nimemsoma mdau mmoja anasema mpaka saiv tunaenda mwez wa 5 dai hajapata award hata moja..kwa taarfa tu tangu mwaka uanze dai ana award kama 6 au 7 za kimataifa..kama hujui unachoongea kaa kimya
 
Tatizo ni akili fupi, wivu na chuki....

Diamond sio marketing manager wa Vodacom, ni Brand Ambassador in general, ila unapozungumzia specific projects ndio unazama kiundani kwenye mkataba, na upande wa specific projects alihusika kwenye "ongea deilee" japo muda wote anatakiwa kuitangaza vodacom kama mtandao in general..

Vodacom wanaweza kuja na specific projects tofauti hata tano ila Diamond asipromote hata moja akaendelea kuitangaza Vodacom kama Vodacom mfano, angalia pages zake kwenye social networks. Kumbuka hawa watu hawafanyi vitu kwa mihemko, ongea deilee bado inatangazwa Unaweza cheki kwenye website yao hapa https://www.vodacom.co.tz/

Suala la unyanyasaji wanawake hakuna point ya maana. Diamond hajawahi kumpa mimba demu yeyote yule na kumtelekeza, anamjali mamaake kama mboni yake ya jicho, kawa na wema na alikuwa anafahamu ugumba wake lakini hata siku moja hakutangaza kwa media unyanyasaji upi hapo unaozungumziwa? au kuhonga Murano hahaha


Pale msanii unaomshabikia anapokuwa hana jipya town, kinachotokea ndio kama alichofanya mleta mada umbea, wivu, chuki, na kupakuliwa kunaanzaga hivohivo

I'm out..
Nimekupenda Ghafulaa
 
On serious note supposedly ningeenda mbele hamuoni INGEKUWA MAMBO YA AIBU SANAA SANAA KWA GLOBAL BRAND KAMA ILE KUWA NA FUGITIVE MWENYE CHARGES KAMA ZILE TENA RB IKO VALID NA MEDICAL REPORT.

INGEKUWA AIBU YA MWAKA.

CHA KUJIFUNZA NI KUWA ANYBODY CAN MAKE A DIFFERENCE AS LONG AS ASIMAME KWENYE UKWELI NA MAADILI.

BINAFSI NIMEJIFUNZA JAMIIFORUMS IS BEYOND POWERFULL MEDIA.
So do you think voda wametoa matangazo bcz of you? C'm on lara 1 ,
 
Lara Ali leta hii mada Siku ambayo video ya chrissbrown ilivokua viral akijutia kumpiga rihana miaka kadhaa na jinsi ilivo muathiri kwenye deals sake naona Lara akaleta thread that day ,lol the funny thing is she actually believe yeye ndo kasababisha hayo yatolewe ,lol huyu Dada anafrahisha sana.
 
Nasoma uu uzi, Nipo ndani ya daladla Tangu Nimepanda ni nyimbo za Mondi tu, Hadi Raha Yaani, Na Nashuka bdo Zaimba, Love you NASIB
 
Huyo mtetezi wa wanawake nani?? Huyu Huyu Lara 1 mtukanaji na mdhalilishaji mkubwa wa wanawake wenzake??? Au wema pekee ndio mwanamke duniani hao wengine Lara anao wadhalilishaga humu kila siku ni wanaume???
Lara 1 ni dizaini flani hivi ya mwanamke ambaye ukimpa laki tu anakufanyia dirty work yoyote unayotaka!! Kuna watu wamemtuma (na tunawafahamu) aje hapa amuharibie riziki kijana mwenzetu anayejituma Kwa kuvuja jasho na kujipatia kipato cha halali kabisa.. jambo la kumshukuru mungu ni kwamba WAMEFELI
Ila mond aache uchafu wa kuzalilisha wanawake....
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Hopeless. Kweli ndio maana tupo kwenye nafasi za juu katika nchi ambazo wananchi wake wanaishi kwa Huzuni. Hii inaonesha ni kwa kiasi gani mtu akifanikiwa wengine wanavyoumia mioyoni mwao. Infact Diamond bado ni balozi wa Vodacom, mabango kutolewa haimaanishi katoswa bali Vodacom waneanzisha promotion nyingine. Vodacom haifanyi kazi kienyeji/kiswahili. Jiulize utapata stress kiasi gani promotion ijaya Diamond akitokea tena[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ???
 
Kuna uzi humu lara 1 anaelezea jinsi makampuni yalivyopotoka kumtumia Diamond kwa matangazo yake kama humaniser.

Uzi wenyewe ni huu: Pale makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Vodacom

Leo bango la pale Ubungo kona ya kwenda chuo kikuu UDSM wametoa picha ya Diamond na kumuweka dada fulani, pia eneo la Sayansi wametoa picha zake.

Hizo ni sehemu mbili nilizoona kwa leo, nadhani ndani ya wiki huyu jamaa hatakuwa hana bango hata moja.

Sasa sijui ni coincidence au dua la kuku limempata mwewe!

Mbona jana alifanya Show ya Vodacom kwenye sherehe ya wafanya kazi wao ...........
 
Back
Top Bottom