au ndio ameshajitabiria "utanipenda?"Dogo ameanza kuchuja,tunaelekea mwezi wa tano huu katika mwaka mpya,hakuna cha tuzo wala mama yake na tuzo.Na bado
Acha bhana... kumbe wenzake collabo zote wanaimba kwa Kiingereza?! Na ndio maana sie wengine wala hatukuona sababu ya kutaka kuwa wasomi...Sasa ngumbaru kama diamond atajua lini English,collabo zote wenzake wanaimba kiingereza yeye anaishia Kiswahili.Mambo yake imeishia hapo...
Huku akifanya maths za kupata mchongo mwingine...Hapa ninaposoma namwona huyo diamond kwa juu katulia tu anacheka zake
Hujui kitu
Voda wanalipa kampuni za mabango kama outdoor kuweka matangazo sehemu fulani kwa muda fulani
Ni kama kodi ya nyumba tu,inawezekana kabisa kodi ya tangazo la voda kwa kampuni hiyo ya mabango kwenye sehemu hiyo imekwisha
Na kila eneo lina kiwango chake cha kodi ndio maana huwezi kukuta bango tandale
yamebakia humu jamii forums tu..Kuna uzi humu lara 1 anaelezea jinsi makampuni yalivyopotoka kumtumia Diamond kwa matangazo yake kama humaniser.
Uzi wenyewe ni huu: Pale makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Vodacom
Leo bango la pale Ubungo kona ya kwenda chuo kikuu UDSM wametoa picha ya Diamond na kumuweka dada fulani, pia eneo la Sayansi wametoa picha zake.
Hizo ni sehemu mbili nilizoona kwa leo, nadhani ndani ya wiki huyu jamaa hatakuwa hana bango hata moja.
Sasa sijui ni coincidence au dua la kuku limempata mwewe!
Kila tangazo la makampuni ya simu lina target yao isipofikiwa within a period of time wanachange.ndio kutoswa huko
Una wafahamu mafikizolo mbona hawabi kingereza, phyno one of the best rappers wa africa mbona ana rap ki igbo hata collabo zote alizofanya ni igbo.Sasa ngumbaru kama diamond atajua lini English,collabo zote wenzake wanaimba kiingereza yeye anaishia Kiswahili.Mambo yake imeishia hapo...
Kabisa hao ni team kiba....wivu dotcom...tangazo keshalamba mpunga...muda wa tangazo umeisha..km kuvua chupi wamemuona dai tu...huyo mtu wao anavua chup na kuzalisha hovyo...wivu kidondaaa.wewe
wewe na huyo lara1 ni wivu tu unawasumbua kwasababu hamna vipaji na vipaji vyenu umbea.
swissme
Unaweza nikumbusha ni tuzo zipi zimetolewa toka mwaka umeanza ambazo mondi aligombania na akakosaau ndio ameshajitabiria "utanipenda?"
Nimekupenda GhafulaaTatizo ni akili fupi, wivu na chuki....
Diamond sio marketing manager wa Vodacom, ni Brand Ambassador in general, ila unapozungumzia specific projects ndio unazama kiundani kwenye mkataba, na upande wa specific projects alihusika kwenye "ongea deilee" japo muda wote anatakiwa kuitangaza vodacom kama mtandao in general..
Vodacom wanaweza kuja na specific projects tofauti hata tano ila Diamond asipromote hata moja akaendelea kuitangaza Vodacom kama Vodacom mfano, angalia pages zake kwenye social networks. Kumbuka hawa watu hawafanyi vitu kwa mihemko, ongea deilee bado inatangazwa Unaweza cheki kwenye website yao hapa https://www.vodacom.co.tz/
Suala la unyanyasaji wanawake hakuna point ya maana. Diamond hajawahi kumpa mimba demu yeyote yule na kumtelekeza, anamjali mamaake kama mboni yake ya jicho, kawa na wema na alikuwa anafahamu ugumba wake lakini hata siku moja hakutangaza kwa media unyanyasaji upi hapo unaozungumziwa? au kuhonga Murano hahaha
Pale msanii unaomshabikia anapokuwa hana jipya town, kinachotokea ndio kama alichofanya mleta mada umbea, wivu, chuki, na kupakuliwa kunaanzaga hivohivo
I'm out..
So do you think voda wametoa matangazo bcz of you? C'm on lara 1 ,On serious note supposedly ningeenda mbele hamuoni INGEKUWA MAMBO YA AIBU SANAA SANAA KWA GLOBAL BRAND KAMA ILE KUWA NA FUGITIVE MWENYE CHARGES KAMA ZILE TENA RB IKO VALID NA MEDICAL REPORT.
INGEKUWA AIBU YA MWAKA.
CHA KUJIFUNZA NI KUWA ANYBODY CAN MAKE A DIFFERENCE AS LONG AS ASIMAME KWENYE UKWELI NA MAADILI.
BINAFSI NIMEJIFUNZA JAMIIFORUMS IS BEYOND POWERFULL MEDIA.
Ila mond aache uchafu wa kuzalilisha wanawake....Huyo mtetezi wa wanawake nani?? Huyu Huyu Lara 1 mtukanaji na mdhalilishaji mkubwa wa wanawake wenzake??? Au wema pekee ndio mwanamke duniani hao wengine Lara anao wadhalilishaga humu kila siku ni wanaume???
Lara 1 ni dizaini flani hivi ya mwanamke ambaye ukimpa laki tu anakufanyia dirty work yoyote unayotaka!! Kuna watu wamemtuma (na tunawafahamu) aje hapa amuharibie riziki kijana mwenzetu anayejituma Kwa kuvuja jasho na kujipatia kipato cha halali kabisa.. jambo la kumshukuru mungu ni kwamba WAMEFELI
Kuna uzi humu lara 1 anaelezea jinsi makampuni yalivyopotoka kumtumia Diamond kwa matangazo yake kama humaniser.
Uzi wenyewe ni huu: Pale makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Vodacom
Leo bango la pale Ubungo kona ya kwenda chuo kikuu UDSM wametoa picha ya Diamond na kumuweka dada fulani, pia eneo la Sayansi wametoa picha zake.
Hizo ni sehemu mbili nilizoona kwa leo, nadhani ndani ya wiki huyu jamaa hatakuwa hana bango hata moja.
Sasa sijui ni coincidence au dua la kuku limempata mwewe!