Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
We kweli hamnazo!! Kwahiyo unaamini ni kwasababu yako [emoji23] [emoji23] [emoji23]MENDE KAANGUSHA KABATIIIIIIIIIIII WOYOOOOOOOOOOOOOO WOYOOOOOOOOOOOOOOO WOYOOOOOOOOO
Mwanaume wa DaaWewe umefaidika na nini!!!
Mliona diamond kafaidi sana sio!!!
Hayo mabango yameanza tolewa toka wiki iliyopita
Voda hawakai na kampeni za muda mrefu
wewe na huyo lara1 ni wivu tu unawasumbua kwasababu hamna vipaji na vipaji vyenu umbea.lara 1 ni kama advocate ,anaweza kutetea jambazi akaonekana hana hatia na akamkandamiza mwenye haki akaonekana ni mwenye hatia ,ilike it nawe toa point zako kumpinga sio mwanaume mzima unajitetea kwa vimstari viwili
hahahaaaa! JANA SI MLISEMA VODA HAWATOI CHOCHOTE? In 24 hrs THE DEJAY IS HISTORY KWENYE BILLBOARDS ZA VODA. Jana mlikunya sanaaa hapa.
Na hii artwork ya hapo inatoka in no time maana hio banner inaendeshwa na AIM GROUP, na washa safisha artwork koteeee. In no time vijana wa Max watabadili mambo.
MNAKUBALI KIMYA KIMYAAA! NYIE ENDELEENI KUPOST INSTA KWENYE ACCOUNT ZENU ZA KUTUKANA WATU. HAHAHAAAAAAAAA! GLOBAL BRAND BABY!!!!!!!!
Huyo mtetezi wa wanawake nani?? Huyu Huyu Lara 1 mtukanaji na mdhalilishaji mkubwa wa wanawake wenzake??? Au wema pekee ndio mwanamke duniani hao wengine Lara anao wadhalilishaga humu kila siku ni wanaume???
Wanabakia na ushabiki maandazi, bila kujua how the PR industry works...
Teh mie naomba kujua kwahiyo ule ubakaji wa kusadikika wa rommy umefanya diamond anyang'anywe ubalozi??? Ha ha ha ha haWe kweli hamnazo!! Kwahiyo unaamini ni kwasababu yako [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi unajua hata terms za ile deal??? Yani atafanya shoo ngapi za voda (kama ile ya mabibo)??? Tangazo la redio/tv litaruka Kwa muda gani?? etc
Endelea kujitekenya na kukenua meno??
Kwahiyo ume-conclude kichwani mwako tayari kuwa Dee kapokonywa ubalozi [emoji23] [emoji23]Tena voda walikosea wasanii wakibongo wanapenda kuzalilisha sana wanawake. Wajifunze tena ana bahati angekuwa huko mbelezi angenyooka tu
Sasa ulitaka abaki forever hivi vtu vya uzalilishaji kibongo mnavichukulia simple kwa vile hamna anayehangaika hii ikifika kimataifa inaharibu reputation ya vodaKwahiyo ume-conclude kichwani mwako tayari kuwa Dee kapokonywa ubalozi [emoji23] [emoji23]
Ni kwasababu amekuwa inspiration Kwa vijana wengi!!Diamond akiguswa tu kwa lolote humu basi mapovuuuuu
For your information dogo bado ni balozi wa voda na mwezi July kuna tamasha lingine la wazi la voda kama lile la mabibo and many other things!!Sasa ulitaka abaki forever hivi vtu vya uzalilishaji kibongo mnavichukulia simple kwa vile hamna anayehangaika hii ikifika kimataifa inaharibu reputation ya voda