Vodacom wabandua mabango yenye picha za Diamond

Vodacom wabandua mabango yenye picha za Diamond

MENDE KAANGUSHA KABATIIIIIIIIIIII WOYOOOOOOOOOOOOOO WOYOOOOOOOOOOOOOOO WOYOOOOOOOOO
We kweli hamnazo!! Kwahiyo unaamini ni kwasababu yako [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hivi unajua hata terms za ile deal??? Yani atafanya shoo ngapi za voda (kama ile ya mabibo)??? Tangazo la redio/tv litaruka Kwa muda gani?? etc
Endelea kujitekenya na kukenua meno??
 
wewe
lara 1 ni kama advocate ,anaweza kutetea jambazi akaonekana hana hatia na akamkandamiza mwenye haki akaonekana ni mwenye hatia ,ilike it nawe toa point zako kumpinga sio mwanaume mzima unajitetea kwa vimstari viwili
wewe na huyo lara1 ni wivu tu unawasumbua kwasababu hamna vipaji na vipaji vyenu umbea.

swissme
 
hahahaaaa! JANA SI MLISEMA VODA HAWATOI CHOCHOTE? In 24 hrs THE DEJAY IS HISTORY KWENYE BILLBOARDS ZA VODA. Jana mlikunya sanaaa hapa.

Na hii artwork ya hapo inatoka in no time maana hio banner inaendeshwa na AIM GROUP, na washa safisha artwork koteeee. In no time vijana wa Max watabadili mambo.

MNAKUBALI KIMYA KIMYAAA! NYIE ENDELEENI KUPOST INSTA KWENYE ACCOUNT ZENU ZA KUTUKANA WATU. HAHAHAAAAAAAAA! GLOBAL BRAND BABY!!!!!!!!

Tatizo wengi wao ni la saba B, hawajui how powerful the "truth" can be....

Wanabakia na ushabiki maandazi, bila kujua how the PR industry works...

Shame on eerybody who was against the movement.

Right there, i said it.
 
lara 1 hana chuki na mtu yeyote, alichokua anasisitiza ni ukandamizwaji wa haki za wanawake, hiyo haijalishi nani kahusika hata kama ingekua ni Samaritan angepaza sauti tu!
Huyo mtetezi wa wanawake nani?? Huyu Huyu Lara 1 mtukanaji na mdhalilishaji mkubwa wa wanawake wenzake??? Au wema pekee ndio mwanamke duniani hao wengine Lara anao wadhalilishaga humu kila siku ni wanaume???
Lara 1 ni dizaini flani hivi ya mwanamke ambaye ukimpa laki tu anakufanyia dirty work yoyote unayotaka!! Kuna watu wamemtuma (na tunawafahamu) aje hapa amuharibie riziki kijana mwenzetu anayejituma Kwa kuvuja jasho na kujipatia kipato cha halali kabisa.. jambo la kumshukuru mungu ni kwamba WAMEFELI
 
Wanabakia na ushabiki maandazi, bila kujua how the PR industry works...

Wabongo Kwa kujitutumua! Kwa u-expert gani hasa ulionao kwenye PR mpaka ututambie hivyo..

Ni bora kuwa shabiki maandazi kuliko kuendekeza roho mbaya na wivu Kwa kijana mwenzako anayejiingizia kipato chake halali Kwa kuvuja jasho.. ni uzezeta!!
 
Watu wanajaribu kuongea bila kuangalia uhalisia ,, hivi ni mtanzania gani ambaye atakubali kununua vocha akaiweka na kumpigia mtu bila kujiunga kwa dakika kumi ? , jibu ni wapo ila wachache sana kwa sababu wengi wetu ni wa vocha za jero , na je ina raha gani kufanya hivyo ilihali ukinunua jero yako na kujiunga utapata dakika za mitandao yote badala ya zile za mtandao mmoja tu ambazo kuzipata mpaka uongee dakika kumi kavukavu bila kujiunga ,,, nini maana ya jambo hili basi mpango wa ongea dylee haukufanikiwa kupata wateja wengi kwa mantiki hiyo basi ikawa imebuniwa plan mpya ambayo ni bando mbili dabo ukinunua moja ambayo pia nahisi bado inahitaji maboresho kwa kiasi flani hivyo suala la mabango yenye picha ya muha kutolewa haimaanishi kwamba deal na muha imekwisha bali ile plan A imegoma sasa ni plan B dabo bhando ..... yangu macho laini yangu ntaiweka mpaka zikifika nunua bando moja upate nne ... ha ha ha ha
 
We kweli hamnazo!! Kwahiyo unaamini ni kwasababu yako [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hivi unajua hata terms za ile deal??? Yani atafanya shoo ngapi za voda (kama ile ya mabibo)??? Tangazo la redio/tv litaruka Kwa muda gani?? etc
Endelea kujitekenya na kukenua meno??
Teh mie naomba kujua kwahiyo ule ubakaji wa kusadikika wa rommy umefanya diamond anyang'anywe ubalozi??? Ha ha ha ha ha
 
Tena voda walikosea wasanii wakibongo wanapenda kuzalilisha sana wanawake. Wajifunze tena ana bahati angekuwa huko mbelezi angenyooka tu
 
Sasa ulitaka abaki forever hivi vtu vya uzalilishaji kibongo mnavichukulia simple kwa vile hamna anayehangaika hii ikifika kimataifa inaharibu reputation ya voda
For your information dogo bado ni balozi wa voda na mwezi July kuna tamasha lingine la wazi la voda kama lile la mabibo and many other things!!

Alafu nani kwani aliyedhalilishwa???
 
who is Lara1??????
kweli nimeamini Afrika ni shiida, badala ya kufanya kazi tujikwamue, tuko bize na maisha ya watu na kulenga kushushana chini! It is amazing........
 
Back
Top Bottom