Vodacom wabandua mabango yenye picha za Diamond


OK, tuweke pembeni hizi tuhuma zako ulizokuja nazo na maneno makali uliyoyatumia, alichokiandika kuhusu unyanyasaji wa wanawake ni cha uongo au kakosea? Na je, kijana au MTU yeyote anayejituma asikosolewe anapoenda tofauti?
 

nashanga kuona eti unajisifu kwa hilo , wewe unajua program za kampun, kuwa Leo wanafanya nini na kesho je? ni coincidence tu imetokea, we na bandiko lako na wenywe na program zao... think more and more... itakuwa kampun ya ajabu yaani jion uweke bango lako, asubuh waliondoe. hicho kikao cha management kimeka muda gani????
 

Wamebadili tangazo, hivi sasa wanatangaza bando za dabo

Diamond hajaondolewa
Diamond dili lake lilikuwa kutangaza ile issue ya deile
Hili la Bando Diamond hahusiki na ndo maana hayo mabango ya dabo bando kwa mpesa yalikuwepo kabla huyu malaya hajasema kitu

Duuh kweli nyie mambulula...hamjui voda ni kampuni kubwa na ina campaigns/promotions mbalimbali?...Sasa hivi dabo bando ndo habari ya mjini kwahiyo wanaipromote acheni ujinga wa lara 1 sijui nani. ..jiongezeni
..nimewaelewa sana..mengine nitarudi
 
Voda niliwapenda zamani na marketing department yao., ila kwa sasa chali hamna kitu! Hivi waliufanyia utaffiti huu mpango wa deile kweli? Yaan mtu aweke vocha apige bila kifurushi chochote for 10 minutes ndio apate lisaa limoja? Kweli inaingia akilini? Na je wanawajua wateja wao? Kwa mm binafsi wateja wengi wa voda ninaowafahamu siyo vijana Bali ni watu wazima kidogo! So kama wanalijua hilo why put diamond kwenye huo mchakato? Na kama walitambua ya kuwa vijana kwao ni wachache kwa nn wasilete miofa ya kuwavuta vijana? Siku hizi mambo mengi ya simu yamehamia ni data, mara hz social media! Kwa nn offer yao isilenge huko? Tigo huduma yake ya Internet siyo bora kama ya voda ila ina vijana wengi na wateja wengi kwa kuwa anaitangaza sana na anatoa promotion kibao za data. Vodacom amkeni! Ukubwa wenu umewafanya mmebweteka!
 
Tena voda walikosea wasanii wakibongo wanapenda kuzalilisha sana wanawake. Wajifunze tena ana bahati angekuwa huko mbelezi angenyooka tu
Hili ni dua la kuku, kwani voda tangazo lao hua linabaki milele? Au huduma waliyonayo na ongea deile tu? Au kwakua katangaza diamond basi likae miaka mia.....
Mtu alodhalilishwa na diamond nani wema??? Mmmh
 
OK, tuweke pembeni hizi tuhuma zako ulizokuja nazo na maneno makali uliyoyatumia, alichokiandika kuhusu unyanyasaji wa wanawake ni cha uongo au kakosea? Na je, kijana au MTU yeyote anayejituma asikosolewe anapoenda tofauti?
So diamond asingepewa hili dili la voda msingeraise sauti zenu kutetea wanawake???
Make ninachokiona hapa TATIZO SIO DIAMOND DIRECT, TATIZO NI HUO UBALOZI WA VODA possibly akinyang'anywa itakua shida hakuna mtakaa kimya
 
Huyo lara nadhan hajaolewa,afu km tom boy flan hv mwny age above 35,,,pia hana mtoto wala majukumu,yeye YUPO TU!
Ule uzi wa diamond ni km alikurupushwa toka usingizini afu ndyo akaandika,huyo lara YUPO TU!
 
Diamond ni brand...na hizo tabia zake hamna zinayemkera. ..maana mleta uzi mwenyewe alikuwa muuza watu...sasa leo anabweka

...mfano jiulize Hao wanawake aliowanyanyasa dai mbona hawajafungua kesi.

Lara anatafutaga kiki...
 
Diamond ni brand...na hizo tabia zake hamna zinayemkera. ..maana mleta uzi mwenyewe alikuwa muuza watu...sasa leo anabweka

...mfano jiulize Hao wanawake aliowanyanyasa dai mbona hawajafungua kesi.

Lara anatafutaga kiki...
Mtetezi wa wanawake, anawauza wanawake....udhalilishaji wake ni mkubwa kuliko wa diamond
 
usikute anafanya kazi voda na alijua what is going on
Na wewe umeamini hii chai???
Kwa mbaaaaali ningeamini kama mabango ya ongea daily yangebadilishwa picha zikatolewa za diamond na kuwekwa mtu mwingine kidogo ningeamini.... Ila diamond hiyo Dabo bando sio deal yake kwahiyo sio sababu ya kuona kwamba deal bye bye ntakua wa mwisho kuamini hii chai
 
So diamond asingepewa hili dili la voda msingeraise sauti zenu kutetea wanawake???
Make ninachokiona hapa TATIZO SIO DIAMOND DIRECT, TATIZO NI HUO UBALOZI WA VODA possibly akinyang'anywa itakua shida hakuna mtakaa kimya

Hii ni forum huru na kila mtu anachangia kwa kadri ya mtazamo wake, haitakua sawa kama kila post lazima iegemee upande wanaotaka watu flani. Mie sio mtu wa burudani sana kila Diamond nyimbo zake nazipenda na kila siku nafurahishwa sana na jinsi anavyopiga hatua na kupata mafanikio kwenye Kazi yake. Lakini hiyo hainifanyi nisikosoe inapobidi kutoa maoni yangu. Dili LA Voda mie linanisaidia kitu gani? Akipata au kukosa halibadili chochote kwenye maisha yangu. Kwa ufupi mtazamo wangu hauhusiki na the so called dili LA Voda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…