Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mtetezi wa wanawake nani?? Huyu Huyu Lara 1 mtukanaji na mdhalilishaji mkubwa wa wanawake wenzake??? Au wema pekee ndio mwanamke duniani hao wengine Lara anao wadhalilishaga humu kila siku ni wanaume???
Lara 1 ni dizaini flani hivi ya mwanamke ambaye ukimpa laki tu anakufanyia dirty work yoyote unayotaka!! Kuna watu wamemtuma (na tunawafahamu) aje hapa amuharibie riziki kijana mwenzetu anayejituma Kwa kuvuja jasho na kujipatia kipato cha halali kabisa.. jambo la kumshukuru mungu ni kwamba WAMEFELI
hahahaaaa! JANA SI MLISEMA VODA HAWATOI CHOCHOTE? In 24 hrs THE DEJAY IS HISTORY KWENYE BILLBOARDS ZA VODA. Jana mlikunya sanaaa hapa.
Na hii artwork ya hapo inatoka in no time maana hio banner inaendeshwa na AIM GROUP, na washa safisha artwork koteeee. In no time vijana wa Max watabadili mambo.
MNAKUBALI KIMYA KIMYAAA! NYIE ENDELEENI KUPOST INSTA KWENYE ACCOUNT ZENU ZA KUTUKANA WATU. HAHAHAAAAAAAAA! GLOBAL BRAND BABY!!!!!!!!
nashanga kuona eti unajisifu kwa hilo , wewe unajua program za kampun, kuwa Leo wanafanya nini na kesho je? ni coincidence tu imetokea, we na bandiko lako na wenywe na program zao... think more and more... itakuwa kampun ya ajabu yaani jion uweke bango lako, asubuh waliondoe. hicho kikao cha management kimeka muda gani????
Wamebadili tangazo, hivi sasa wanatangaza bando za dabo
Diamond hajaondolewa
Diamond dili lake lilikuwa kutangaza ile issue ya deile
Hili la Bando Diamond hahusiki na ndo maana hayo mabango ya dabo bando kwa mpesa yalikuwepo kabla huyu malaya hajasema kitu
..nimewaelewa sana..mengine nitarudiDuuh kweli nyie mambulula...hamjui voda ni kampuni kubwa na ina campaigns/promotions mbalimbali?...Sasa hivi dabo bando ndo habari ya mjini kwahiyo wanaipromote acheni ujinga wa lara 1 sijui nani. ..jiongezeni
Hili ni dua la kuku, kwani voda tangazo lao hua linabaki milele? Au huduma waliyonayo na ongea deile tu? Au kwakua katangaza diamond basi likae miaka mia.....Tena voda walikosea wasanii wakibongo wanapenda kuzalilisha sana wanawake. Wajifunze tena ana bahati angekuwa huko mbelezi angenyooka tu
So diamond asingepewa hili dili la voda msingeraise sauti zenu kutetea wanawake???OK, tuweke pembeni hizi tuhuma zako ulizokuja nazo na maneno makali uliyoyatumia, alichokiandika kuhusu unyanyasaji wa wanawake ni cha uongo au kakosea? Na je, kijana au MTU yeyote anayejituma asikosolewe anapoenda tofauti?
Tumekusikia tumekufikiawe sio muha yule ni mkongo man we huoni anavyonengua,hawa wakija mjini wanajifanya kwao kigoma lakini ukitrace wana unasaba na ndanda kosovo,
Ha ha ha ha ha ha ha kama lara katoa tamko asubuhi jioni diamond kanyang'anywa ubalozi basi lara ni mkubwa mnooo nchi hii ahamie ikulu sasadiamond kama balozi Dau,balozi asiye na ubalozi
Mtetezi wa wanawake, anawauza wanawake....udhalilishaji wake ni mkubwa kuliko wa diamondDiamond ni brand...na hizo tabia zake hamna zinayemkera. ..maana mleta uzi mwenyewe alikuwa muuza watu...sasa leo anabweka
...mfano jiulize Hao wanawake aliowanyanyasa dai mbona hawajafungua kesi.
Lara anatafutaga kiki...
Na wewe umeamini hii chai???usikute anafanya kazi voda na alijua what is going on
So diamond asingepewa hili dili la voda msingeraise sauti zenu kutetea wanawake???
Make ninachokiona hapa TATIZO SIO DIAMOND DIRECT, TATIZO NI HUO UBALOZI WA VODA possibly akinyang'anywa itakua shida hakuna mtakaa kimya