Vodacom wabandua mabango yenye picha za Diamond

ongea daily imebuma
 
Kumbe wachawi ni wengi hivi
Yaani unafurahia mwenzako kutofanikiwa
Huyu malaya huyu
 
Mkataba utakuwa umeisha, Mondi kawakomalia watoe mabango yake la sivyo wamuongeze mpunga.
 
Hakuna uhusiano wowote hapa. Diamond alifanya Promotion ya Deile Deile.
Naamini hiyo promotion muda wake umepita. Kama bado ana mkataba na vodacom basi si ajabu kumuona tena kwenye Promotion zingine wanaodhani anafaa kuwasaidia kwenye Promotion.
 
Mtetezi wa wanawake, anawauza wanawake....udhalilishaji wake ni mkubwa kuliko wa diamond
Sio kila story za lara1 anazopost humu ni za kweli zingine ni hekaya za kutuondolea stress hasa weekend ,waweza kuta ni mdada mwenye heshima zake tu mjini hapa,tukubali tukatae lara1 anakipaji cha kuelezea mambo kwa maandishi na kutetea kile anachokiamini,waje humu watu wampinge lara1 kwa hoja watu shawishi sio maneno vya mipasho
 
Nimependa nadhani Lara 1 ni msomi, sijui Evelyn salt kama ni msomi. Utaona tu uandishi wa mtu aliyepitia shule utauona tu! Lara nadhani ana shule kwa kiasi fulani, kama hana shule basi ana natural intellect
 
Hata haujajibu swali langu mpendwa haya kwaheri usijisikie vibaya
 
Kwan diamond hakulipwa kwenye hlo dili? If yes panatatizo but if no hakuna shida hata wayabandue yote na sijui point yako utakuwa nn wakati mtu kalipwa uko nyuma ya mda
 
Hakuna mpasho hapo, kinachosemwa ni kweli hata lara jana alivowekewa comments zake flani za udhalilishaji alisema sorry, hakuna mpasho....
 
Shule sijaenda niliishia form three B
Evelyn ndio maana nasema uandishi wa msomi utauona (kama hatajititoa ufahamu, maana JF with anonymity, mtu anajitoa ufahamu) I do expect a philosophical answer from you to my post, sio hiyo ya form three B. Unakumbuka jana na kutahiri we discussed a lot nikakuonyesha kuwa mila ni mila tu kila mmoja anshangaa za mwenzake, because ubora wa mila za mtu is not a concept
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…