Vodacom wabandua mabango yenye picha za Diamond

Vodacom wabandua mabango yenye picha za Diamond

Watu wanajaribu kuongea bila kuangalia uhalisia ,, hivi ni mtanzania gani ambaye atakubali kununua vocha akaiweka na kumpigia mtu bila kujiunga kwa dakika kumi ? , jibu ni wapo ila wachache sana kwa sababu wengi wetu ni wa vocha za jero , na je ina raha gani kufanya hivyo ilihali ukinunua jero yako na kujiunga utapata dakika za mitandao yote badala ya zile za mtandao mmoja tu ambazo kuzipata mpaka uongee dakika kumi kavukavu bila kujiunga ,,, nini maana ya jambo hili basi mpango wa ongea dylee haukufanikiwa kupata wateja wengi kwa mantiki hiyo basi ikawa imebuniwa plan mpya ambayo ni bando mbili dabo ukinunua moja ambayo pia nahisi bado inahitaji maboresho kwa kiasi flani hivyo suala la mabango yenye picha ya muha kutolewa haimaanishi kwamba deal na muha imekwisha bali ile plan A imegoma sasa ni plan B dabo bhando ..... yangu macho laini yangu ntaiweka mpaka zikifika nunua bando moja upate nne ... ha ha ha ha
ongea daily imebuma
 
Kumbe wachawi ni wengi hivi
Yaani unafurahia mwenzako kutofanikiwa
Huyu malaya huyu
 
Mkataba utakuwa umeisha, Mondi kawakomalia watoe mabango yake la sivyo wamuongeze mpunga.
 
Hakuna uhusiano wowote hapa. Diamond alifanya Promotion ya Deile Deile.
Naamini hiyo promotion muda wake umepita. Kama bado ana mkataba na vodacom basi si ajabu kumuona tena kwenye Promotion zingine wanaodhani anafaa kuwasaidia kwenye Promotion.
 
Mtetezi wa wanawake, anawauza wanawake....udhalilishaji wake ni mkubwa kuliko wa diamond
Sio kila story za lara1 anazopost humu ni za kweli zingine ni hekaya za kutuondolea stress hasa weekend ,waweza kuta ni mdada mwenye heshima zake tu mjini hapa,tukubali tukatae lara1 anakipaji cha kuelezea mambo kwa maandishi na kutetea kile anachokiamini,waje humu watu wampinge lara1 kwa hoja watu shawishi sio maneno vya mipasho
 
Nimependa nadhani Lara 1 ni msomi, sijui Evelyn salt kama ni msomi. Utaona tu uandishi wa mtu aliyepitia shule utauona tu! Lara nadhani ana shule kwa kiasi fulani, kama hana shule basi ana natural intellect
 
Hii ni forum huru na kila mtu anachangia kwa kadri ya mtazamo wake, haitakua sawa kama kila post lazima iegemee upande wanaotaka watu flani. Mie sio mtu wa burudani sana kila Diamond nyimbo zake nazipenda na kila siku nafurahishwa sana na jinsi anavyopiga hatua na kupata mafanikio kwenye Kazi yake. Lakini hiyo hainifanyi nisikosoe inapobidi kutoa maoni yangu. Dili LA Voda mie linanisaidia kitu gani? Akipata au kukosa halibadili chochote kwenye maisha yangu. Kwa ufupi mtazamo wangu hauhusiki na the so called dili LA Voda.
Hata haujajibu swali langu mpendwa haya kwaheri usijisikie vibaya
 
On serious note supposedly ningeenda mbele hamuoni INGEKUWA MAMBO YA AIBU SANAA SANAA KWA GLOBAL BRAND KAMA ILE KUWA NA FUGITIVE MWENYE CHARGES KAMA ZILE TENA RB IKO VALID NA MEDICAL REPORT.

INGEKUWA AIBU YA MWAKA.

CHA KUJIFUNZA NI KUWA ANYBODY CAN MAKE A DIFFERENCE AS LONG AS ASIMAME KWENYE UKWELI NA MAADILI.

BINAFSI NIMEJIFUNZA JAMIIFORUMS IS BEYOND POWERFULL MEDIA.
Kwan diamond hakulipwa kwenye hlo dili? If yes panatatizo but if no hakuna shida hata wayabandue yote na sijui point yako utakuwa nn wakati mtu kalipwa uko nyuma ya mda
 
Sio kila story za lara1 anazopost humu ni za kweli zingine ni hekaya za kutuondolea stress hasa weekend ,waweza kuta ni mdada mwenye heshima zake tu mjini hapa,tukubali tukatae lara1 anakipaji cha kuelezea mambo kwa maandishi na kutetea kile anachokiamini,waje humu watu wampinge lara1 kwa hoja watu shawishi sio maneno vya mipasho
Hakuna mpasho hapo, kinachosemwa ni kweli hata lara jana alivowekewa comments zake flani za udhalilishaji alisema sorry, hakuna mpasho....
 
Shule sijaenda niliishia form three B
Evelyn ndio maana nasema uandishi wa msomi utauona (kama hatajititoa ufahamu, maana JF with anonymity, mtu anajitoa ufahamu) I do expect a philosophical answer from you to my post, sio hiyo ya form three B. Unakumbuka jana na kutahiri we discussed a lot nikakuonyesha kuwa mila ni mila tu kila mmoja anshangaa za mwenzake, because ubora wa mila za mtu is not a concept
 
Back
Top Bottom