binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Hebu nieleweshe akina nani wamedhalilishwa na Diamond.Hili ni dua la kuku, kwani voda tangazo lao hua linabaki milele? Au huduma waliyonayo na ongea deile tu? Au kwakua katangaza diamond basi likae miaka mia.....
Mtu alodhalilishwa na diamond nani wema??? Mmmh
Wema, jokate. Penny kifupi ni ma ex wake tehHebu nieleweshe akina nani wamedhalilishwa na Diamond.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unanitania chief, unless kuna maelezo mengine.Wema, jokate. Penny kifupi ni ma ex wake teh
Na huyu anaedai kabakwa na rommy nae diamond kamdhalilisha indirect make rommy yupo wcb
Hebu nieleweshe akina nani wamedhalilishwa na Diamond.
Na hii ndiyo source yao ambayo wanataka Vodacom waitumie kuvunja mkataba:Wema, jokate. Penny kifupi ni ma ex wake teh
Na huyu anaedai kabakwa na rommy nae diamond kamdhalilisha indirect make rommy yupo wcb
Ha ha ha maelezo yamejitosheleza kabisa, hivo diamond hastahili kuwa ambassador wa kampuni kubwa kama Vodacom ni mdhalilishaji wa wanawake.... Na hivi sasa sauti ya lara imesikika mabango ya diamond yametolewa 😀😀😀😀😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unanitania chief, unless kuna maelezo mengine.
Ingekua ni rahisi rahisi hivo duh tungekua tunafanyiana fitna asubuhi na jioniNa hii ndiyo source yao ambayo wanataka Vodacom waitumie kuvunja mkataba:
Source yao nyingine hii hapa:Unique Entertainment Blog: WEMA SEPETU ADUNDWA KAMA MWIZI NA DIAMOND
Abeeeeeeee source ni gazeti la Risasi! ???? Haya yanayomalizia na "tulimtafuta mhusika ili aeleze kilichotokea simu yake iliita bila kupokelewa" . Hapo ndio wanakuwa wamebalance story hahahhah nacheka kama mazuri.Na hii ndiyo source yao ambayo wanataka Vodacom waitumie kuvunja mkataba:
Source yao nyingine hii hapa:Unique Entertainment Blog: WEMA SEPETU ADUNDWA KAMA MWIZI NA DIAMOND
We unavyontetea umepata faida ganiwewe
wewe na huyo lara1 ni wivu tu unawasumbua kwasababu hamna vipaji na vipaji vyenu umbea.
swissme
Nimependa nadhani Lara 1 ni msomi, sijui Evelyn salt kama ni msomi. Utaona tu uandishi wa mtu aliyepitia shule utauona tu! Lara nadhani ana shule kwa kiasi fulani, kama hana shule basi ana natural intellect
Vodacom na Diamond na familia nzima wamesaini mkataba wa mwaka mzima kwa hiyo kubandua mabango haiwezi kuathiri mkataba!Kuna uzi humu lara 1 anaelezea jinsi makampuni yalivyopotoka kumtumia Diamond kwa matangazo yake kama humaniser.
Uzi wenyewe ni huu: Pale makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Vodacom
Leo bango la pale Ubungo kona ya kwenda chuo kikuu UDSM wametoa picha ya Diamond na kumuweka dada fulani, pia eneo la Sayansi wametoa picha zake.
Hizo ni sehemu mbili nilizoona kwa leo, nadhani ndani ya wiki huyu jamaa hatakuwa hana bango hata moja.
Sasa sijui ni coincidence au dua la kuku limempata mwewe!
Hapo chacha!! Ndo mtu amekupeleka mahakamani kwamba unaharibu image yake kibiashara... Upande wa Mlalamikaji unakutaka ulete ushahidi wa tuhuma dhidi ya Mlalamikaji ndo unatoa hivyo vi-link na copy ya gazeti la Risasi!!Ingekua ni rahisi rahisi hivo duh tungekua tunafanyiana fitna asubuhi na jioni
They didnt remove them because of your complaints...they removed them because now it is time for double bundle promotion. Some of us work in marketing and we know what is going on. But if you want to think the change has anything to do with YOU, well go ahead and make yourself happy.On serious note supposedly ningeenda mbele hamuoni INGEKUWA MAMBO YA AIBU SANAA SANAA KWA GLOBAL BRAND KAMA ILE KUWA NA FUGITIVE MWENYE CHARGES KAMA ZILE TENA RB IKO VALID NA MEDICAL REPORT.
INGEKUWA AIBU YA MWAKA.
CHA KUJIFUNZA NI KUWA ANYBODY CAN MAKE A DIFFERENCE AS LONG AS ASIMAME KWENYE UKWELI NA MAADILI.
BINAFSI NIMEJIFUNZA JAMIIFORUMS IS BEYOND POWERFULL MEDIA.
Exactly my point. She has convinced herself might as well make herself happyWe kweli hamnazo!! Kwahiyo unaamini ni kwasababu yako [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi unajua hata terms za ile deal??? Yani atafanya shoo ngapi za voda (kama ile ya mabibo)??? Tangazo la redio/tv litaruka Kwa muda gani?? etc
Endelea kujitekenya na kukenua meno??
Wapiii...usiwaamini. Yaani they think Vodacom inaendeshwa na small minded people.Kwahiyo amevuliwa ubalozi wa voda? Teh
They dont know D na Voda walisign contract tena mbele ya press. Na wakimvua huo ubalozi lazima watangaze na sababu yenyewe. Watu hapa wanajitekenya na kucheka wenyeweKwahiyo ume-conclude kichwani mwako tayari kuwa Dee kapokonywa ubalozi [emoji23] [emoji23]
Diamond kamdhalilisha nani? Embu tujuze mwenzetuSasa ulitaka abaki forever hivi vtu vya uzalilishaji kibongo mnavichukulia simple kwa vile hamna anayehangaika hii ikifika kimataifa inaharibu reputation ya voda
Mi ni wa mwisho kabisa kuamini hii chai, kwamba lara kasema diamond ni mdhalilishaji akaweka na picha za wema kapigwa kutoka kwa shigongo..... Voda wakafanya maamuzi magumu ha ha ha ha ha inahitajika kujitoa akili kwanza ndo uamini hayo manenoWapiii...usiwaamini. Yaani they think Vodacom inaendeshwa na small minded people.