Vodacom wabandua mabango yenye picha za Diamond

Vodacom wabandua mabango yenye picha za Diamond

Attachments

  • 1461326311675.jpg
    1461326311675.jpg
    78.6 KB · Views: 77
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unanitania chief, unless kuna maelezo mengine.
Ha ha ha maelezo yamejitosheleza kabisa, hivo diamond hastahili kuwa ambassador wa kampuni kubwa kama Vodacom ni mdhalilishaji wa wanawake.... Na hivi sasa sauti ya lara imesikika mabango ya diamond yametolewa 😀😀😀😀😀
 
Kuna uzi humu lara 1 anaelezea jinsi makampuni yalivyopotoka kumtumia Diamond kwa matangazo yake kama humaniser.

Uzi wenyewe ni huu: Pale makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Vodacom

Leo bango la pale Ubungo kona ya kwenda chuo kikuu UDSM wametoa picha ya Diamond na kumuweka dada fulani, pia eneo la Sayansi wametoa picha zake.

Hizo ni sehemu mbili nilizoona kwa leo, nadhani ndani ya wiki huyu jamaa hatakuwa hana bango hata moja.

Sasa sijui ni coincidence au dua la kuku limempata mwewe!
Vodacom na Diamond na familia nzima wamesaini mkataba wa mwaka mzima kwa hiyo kubandua mabango haiwezi kuathiri mkataba!

Na wakivunja mkataba watamlipa na kwa hili vodacom hawawezi kabisa!
 
Kabla ya kushabikia ingekuwa busara tukajua mkataba wao ulikuwaje. Kama kesha vuta mkwanja haya mambo mengine madogo sana.

Mwalimu wangu wa saikolojia aliwahi kusema, "mtu ni kichwa". Ukisoma maandishi ya watu unaweza jua kuna watu hawana vichwa.
 
Ingekua ni rahisi rahisi hivo duh tungekua tunafanyiana fitna asubuhi na jioni
Hapo chacha!! Ndo mtu amekupeleka mahakamani kwamba unaharibu image yake kibiashara... Upande wa Mlalamikaji unakutaka ulete ushahidi wa tuhuma dhidi ya Mlalamikaji ndo unatoa hivyo vi-link na copy ya gazeti la Risasi!!
 
On serious note supposedly ningeenda mbele hamuoni INGEKUWA MAMBO YA AIBU SANAA SANAA KWA GLOBAL BRAND KAMA ILE KUWA NA FUGITIVE MWENYE CHARGES KAMA ZILE TENA RB IKO VALID NA MEDICAL REPORT.

INGEKUWA AIBU YA MWAKA.

CHA KUJIFUNZA NI KUWA ANYBODY CAN MAKE A DIFFERENCE AS LONG AS ASIMAME KWENYE UKWELI NA MAADILI.

BINAFSI NIMEJIFUNZA JAMIIFORUMS IS BEYOND POWERFULL MEDIA.
They didnt remove them because of your complaints...they removed them because now it is time for double bundle promotion. Some of us work in marketing and we know what is going on. But if you want to think the change has anything to do with YOU, well go ahead and make yourself happy.
 
We kweli hamnazo!! Kwahiyo unaamini ni kwasababu yako [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hivi unajua hata terms za ile deal??? Yani atafanya shoo ngapi za voda (kama ile ya mabibo)??? Tangazo la redio/tv litaruka Kwa muda gani?? etc
Endelea kujitekenya na kukenua meno??
Exactly my point. She has convinced herself might as well make herself happy
 
Wapiii...usiwaamini. Yaani they think Vodacom inaendeshwa na small minded people.
Mi ni wa mwisho kabisa kuamini hii chai, kwamba lara kasema diamond ni mdhalilishaji akaweka na picha za wema kapigwa kutoka kwa shigongo..... Voda wakafanya maamuzi magumu ha ha ha ha ha inahitajika kujitoa akili kwanza ndo uamini hayo maneno
 
Back
Top Bottom