Vodacom wabandua mabango yenye picha za Diamond

Very well said, thank you
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unanitania chief, unless kuna maelezo mengine.
Nashangaa pia. Kwani hao akina Penny aliwabaka? Wasilikua wanamvulia chupi wenyewe? Kwahiyo mkiachana na mwanaume basi anakua amekudhalilisha? Huu ni upuuziii. Am a woman and this whole mdhalilishaji shit is actually bull's shit.
 
Kweli uelewa wa mtu utauona hata kwa maandishi yake, au sijui ndio chuki zimefikia kiwango cha kumfanya mtu hata kaelimu kake kasifanye kazi. Hivi unajua/mnajua kuwa kwa DIAMOND kusaini mkataba tayari keshachukua mkwanja wake ??? i

Hivi unajua kuwa mabango yapo barabarani kwa mkataba maalum na jiji ????

Hivi unajua makataba wao ( voda na jiji) wa mabango kukaa barabarani ni wa muda gani au unadhani yapo bure ???

Au hujui lolote maana ya mkataba ????

Hata tukienda kwa mawazo yako, je ndio kusema ???

Kampuni yoyote ukishaingia nayo mkataba halafu yenyewe ndio ikavunja mkataba basi atakayenufaika ni yule uliyesitisha mkataba naye. ( kwa jambo hili lingekuwa kama unavyowaza wewe basi DIAMOND ndio angezidishiwa pesa si kuwa umemkomoa )
 
Hahahahaaaaa! JIJI SAFIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII! WOYOOOOOO WOYOOOOOOOOO! Sasa mi sitaki kuongea mengi kwa sasa maana reasonable time haijaisha na hatua zishaanza kuchukuliwa. Ila tu mkumbuke INTERNET NEVER FORGETS.

Nawaacha kwanza mjimlizeeeeeee, mjimimineeee kama kaka meneja kwenye zile shutuma. Mseme yote ndo mimi ndo napo wapatia kwa hayo hayo mliyosema. Kabla hujabadili maneno au kupindisha pindisha habari kumbuka habari ya kwanza uliongea nini, mbele ya camera ngapi na data gani ulitoa. Bila hivo ukichakachua ile interview ya nyuma itawavua nguo Voda maana mlijimimina hatari.

Press release zenu zimesainiwa kabisaa mkazimwaga mwenye mablog, nazipitia pitia hapa daily just incase you twist something. Nishazi save na ku screenshot hazikawii kupotea maana mtandao si wenu huu.

NAWATUMIA SALAMU NYINGI TOKA KIBAIGWA HUKU SOKO LA MAINDI MTANDAO TUNAUPATA SAFIIIIII KABISAAAAAA.
 
Men's wallet hunter.... zero head
 
Kampeni yenyewe ilikuwa ya kizembe
. eti voda-voda. Sasa unafaidika nini!?
 
Hebu nipe mkasa alimuabuse nani?Maana namchukia sana huyu jamaa toka aitukane chadema mwaka jana
Hahhah eti namchukia tangu aitukane chadema. Pathetic! Kuna wengi tu waliitukana chadema na wengine waliitukana CCM where is your hate basing at! Kawadanganye watoto.
 
Very well said, thank you

Yaani Voda watoe mabango sababu ya upuuzi wako?, unajua huo mkataba unaisha lini?, unajua terms za kusitisha huo mkataba?, Hivi unajua ya kuwa tayari Diamond ameshalipwa kwa huo mkataba?, unajua ya kua voda wakivunja huo mkataba inabidi wamlipe diamond?, unajua hayo mabango huwa hayatolewi na Voda bali na kampuni husika inayofanya kazi kwa niaba ya jiji kuhusiana na hayo mabango, mfano morogoro old Dar es salaam road walishayatoa mabango hii ni wiki ya tatu sasa?....... Ukute mtu kama wewe eti una university degree tena labda ya UDSM
 
Promosheni ya ongea daily imeisha now n dabo dabo haina uhusiano na yale madai
 
Hivi mtoa mada unatumia akili kweli yaani wayatoe mabango waache tangazo lake kwenye website yao hadi sasa?, halafu jiulize hayo mabango wameyatoa Tanzania Mzima, hivi unajua pale morogoro kitope road hii wiki ya tatu sasa bango halipo?
 
Hivi mtoa mada unatumia akili kweli yaani wayatoe mabango waache tangazo lake kwenye website yao hadi sasa?, halafu jiulize hayo mabango wameyatoa Tanzania Mzima, hivi unajua pale morogoro kitope road hii wiki ya tatu sasa bango halipo?
watafika huko sijui kitope sijui matope wanakuja watayatoa tu maana hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…