Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Kamdhalilisha wema alimpiga vibao ha ha ha ha haDiamond kamdhalilisha nani? Embu tujuze mwenzetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamdhalilisha wema alimpiga vibao ha ha ha ha haDiamond kamdhalilisha nani? Embu tujuze mwenzetu
Very well said, thank youTatizo ni akili fupi, wivu na chuki....
Diamond sio marketing manager wa Vodacom, ni Brand Ambassador in general, ila unapozungumzia specific projects ndio unazama kiundani kwenye mkataba, na upande wa specific projects alihusika kwenye "ongea deilee" japo muda wote anatakiwa kuitangaza vodacom kama mtandao in general..
Vodacom wanaweza kuja na specific projects tofauti hata tano ila Diamond asipromote hata moja akaendelea kuitangaza Vodacom kama Vodacom mfano, angalia pages zake kwenye social networks. Kumbuka hawa watu hawafanyi vitu kwa mihemko, ongea deilee bado inatangazwa Unaweza cheki kwenye website yao hapa https://www.vodacom.co.tz/
Suala la unyanyasaji wanawake hakuna point ya maana. Diamond hajawahi kumpa mimba demu yeyote yule na kumtelekeza, anamjali mamaake kama mboni yake ya jicho, kawa na wema na alikuwa anafahamu ugumba wake lakini hata siku moja hakutangaza kwa media unyanyasaji upi hapo unaozungumziwa? au kuhonga Murano hahaha
Pale msanii unaomshabikia anapokuwa hana jipya town, kinachotokea ndio kama alichofanya mleta mada umbea, wivu, chuki, na kupakuliwa kunaanzaga hivohivo
I'm out..
Nashangaa pia. Kwani hao akina Penny aliwabaka? Wasilikua wanamvulia chupi wenyewe? Kwahiyo mkiachana na mwanaume basi anakua amekudhalilisha? Huu ni upuuziii. Am a woman and this whole mdhalilishaji shit is actually bull's shit.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unanitania chief, unless kuna maelezo mengine.
Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u VodaHebu nipe mkasa alimuabuse nani?Maana namchukia sana huyu jamaa toka aitukane chadema mwaka jana
Men's wallet hunter.... zero headHahahahaaaaa! JIJI SAFIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII! WOYOOOOOO WOYOOOOOOOOO! Sasa mi sitaki kuongea mengi kwa sasa maana reasonable time haijaisha na hatua zishaanza kuchukuliwa. Ila tu mkumbuke INTERNET NEVER FORGETS.
Nawaacha kwanza mjimlizeeeeeee, mjimimineeee kama kaka meneja kwenye zile shutuma. Mseme yote ndo mimi ndo napo wapatia kwa hayo hayo mliyosema. Kabla hujabadili maneno au kupindisha pindisha habari kumbuka habari ya kwanza uliongea nini, mbele ya camera ngapi na data gani ulitoa. Bila hivo ukichakachua ile interview ya nyuma itawavua nguo Voda maana mlijimimina hatari.
Press release zenu zimesainiwa kabisaa mkazimwaga mwenye mablog, nazipitia pitia hapa daily just incase you twist something. Nishazi save na ku screenshot hazikawii kupotea maana mtandao si wenu huu.
NAWATUMIA SALAMU NYINGI TOKA KIBAIGWA HUKU SOKO LA MAINDI MTANDAO TUNAUPATA SAFIIIIII KABISAAAAAA.
Ignorance and stupidity. Whoever got my people here, is going straight to hell.
Hahhah eti namchukia tangu aitukane chadema. Pathetic! Kuna wengi tu waliitukana chadema na wengine waliitukana CCM where is your hate basing at! Kawadanganye watoto.Hebu nipe mkasa alimuabuse nani?Maana namchukia sana huyu jamaa toka aitukane chadema mwaka jana
Very well said, thank you
Yaani Voda watoe mabango sababu ya upuuzi wako?, unajua huo mkataba unaisha lini?, unajua terms za kusitisha huo mkataba?, Hivi unajua ya kuwa tayari Diamond ameshalipwa kwa huo mkataba?, unajua ya kua voda wakivunja huo mkataba inabidi wamlipe diamond?, unajua hayo mabango huwa hayatolewi na Voda bali na kampuni husika inayofanya kazi kwa niaba ya jiji kuhusiana na hayo mabango, mfano morogoro old Dar es salaam road walishayatoa mabango hii ni wiki ya tatu sasa?....... Ukute mtu kama wewe eti una university degree tena labda ya UDSMHahahahaaaaa! JIJI SAFIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII! WOYOOOOOO WOYOOOOOOOOO! Sasa mi sitaki kuongea mengi kwa sasa maana reasonable time haijaisha na hatua zishaanza kuchukuliwa. Ila tu mkumbuke INTERNET NEVER FORGETS.
Nawaacha kwanza mjimlizeeeeeee, mjimimineeee kama kaka meneja kwenye zile shutuma. Mseme yote ndo mimi ndo napo wapatia kwa hayo hayo mliyosema. Kabla hujabadili maneno au kupindisha pindisha habari kumbuka habari ya kwanza uliongea nini, mbele ya camera ngapi na data gani ulitoa. Bila hivo ukichakachua ile interview ya nyuma itawavua nguo Voda maana mlijimimina hatari.
Press release zenu zimesainiwa kabisaa mkazimwaga mwenye mablog, nazipitia pitia hapa daily just incase you twist something. Nishazi save na ku screenshot hazikawii kupotea maana mtandao si wenu huu.
NAWATUMIA SALAMU NYINGI TOKA KIBAIGWA HUKU SOKO LA MAINDI MTANDAO TUNAUPATA SAFIIIIII KABISAAAAAA.
Promosheni ya ongea daily imeisha now n dabo dabo haina uhusiano na yale madaiKuna uzi humu lara 1 anaelezea jinsi makampuni yalivyopotoka kumtumia Diamond kwa matangazo yake kama humaniser.
Uzi wenyewe ni huu: Pale makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Vodacom
Leo bango la pale Ubungo kona ya kwenda chuo kikuu UDSM wametoa picha ya Diamond na kumuweka dada fulani, pia eneo la Sayansi wametoa picha zake.
Hizo ni sehemu mbili nilizoona kwa leo, nadhani ndani ya wiki huyu jamaa hatakuwa hana bango hata moja.
Sasa sijui ni coincidence au dua la kuku limempata mwewe!
Promosheni ya ongea daily imeisha now n dabodabo mbona uwa tuhumu dstv na cocacola tuone km watampotezea diamond
Hivi mtoa mada unatumia akili kweli yaani wayatoe mabango waache tangazo lake kwenye website yao hadi sasa?, halafu jiulize hayo mabango wameyatoa Tanzania Mzima, hivi unajua pale morogoro kitope road hii wiki ya tatu sasa bango halipo?Kuna uzi humu lara 1 anaelezea jinsi makampuni yalivyopotoka kumtumia Diamond kwa matangazo yake kama humaniser.
Uzi wenyewe ni huu: Pale makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Vodacom
Leo bango la pale Ubungo kona ya kwenda chuo kikuu UDSM wametoa picha ya Diamond na kumuweka dada fulani, pia eneo la Sayansi wametoa picha zake.
Hizo ni sehemu mbili nilizoona kwa leo, nadhani ndani ya wiki huyu jamaa hatakuwa hana bango hata moja.
Sasa sijui ni coincidence au dua la kuku limempata mwewe!
Acha ukichwa nazi mzee kwani kufanya Kazi Voda ni kitu gani mbona hii picha yake kwenye website hajaitoa, au matangazo ya Voda yanasomwa barabarani tuusikute anafanya kazi voda na alijua what is going on
watafika huko sijui kitope sijui matope wanakuja watayatoa tu maana hakuna namnaHivi mtoa mada unatumia akili kweli yaani wayatoe mabango waache tangazo lake kwenye website yao hadi sasa?, halafu jiulize hayo mabango wameyatoa Tanzania Mzima, hivi unajua pale morogoro kitope road hii wiki ya tatu sasa bango halipo?![]()
Mbona ameshaacha kitambo sana hiyo manenoMtetezi wa wanawake, anawauza wanawake....udhalilishaji wake ni mkubwa kuliko wa diamond
Mbona kwenye website yao hawajatoa au ipo mbali na hao voda?watafika huko sijui kitope sijui matope wanakuja watayatoa tu maana hakuna namna