Vodacom wabandua mabango yenye picha za Diamond

Vodacom wabandua mabango yenye picha za Diamond

Inashangaza sanaa....
Duuh kweli nyie mambulula...hamjui voda ni kampuni kubwa na ina campaigns/promotions mbalimbali?...Sasa hivi dabo bando ndo habari ya mjini kwahiyo wanaipromote acheni ujinga wa lara 1 sijui nani. ..jiongezeni
 

Nadhani unaelewa tatizo la msingi ila upenzi wako kwa Diamond ndiyo tatizo! Hapo kwenye nyekundu ndiyo hoja ya mleta hoja!
Umemfanyia kitu kibaya alafu na ukasamehewa hii jeuri na ufedhuli wa kuja kwenye majukwaa ya Media na kujitamba na kibaya ulichomfanyia mwenzio inatoka wapi?
Huu mimi nauita ulevi wa Pesa ,sifa,Pombe,au uwendawazimu!


cc lara 1
Eti mapenzi na diamond.mi sinaga mapenzi wala ushabiki na mtu nisiyemfahamu.Nasikiliza muziki kwa ajili ya kuburudika tu.na bado sijaona kama umekosoa point zangu hata moja.
 
dangote kashajipia mpunga wake,hata wakitoa hayo mabango hela alizolipwa zitarudi??,go chibu,haters daima hawaishi,ukiona una maadui wengi ujue una mafanikio mengi pia
 
Wanamuonea huyu Muha.
Hawajamuonea chochote sema watu wanakuza ili kujifariji kwamba washamuweza. Ongea Deilee ilikuwa ni new product na billboards zilikuwa for product campaign ambayo hudumu kwa muda maalumu. Jumatatu wiki hii hao hao Vodacom wamezindua product nyingine ambayo ipo kwenye kampeni!!

Ukiingia website ya Vodacom, banners za Vodacom Deilee na Diamond wake bado zipo coz' kule hakuna gharama za billboards!
 
kwani kabla ya kuwa na mabango yenye picha za diamond zaman hawakuwa na mabango yoyote na je mlitaka hata mkataba ukiisha kati yao na diamond bado waache mabango yake had siku anakufa?
Mkataba wao upo pale pale... hao wanaofurahia kuona wenzao wanaanguka wanajipa matumaini hewa! Kilichoisha ni product campaign ambayo ilianza February na Jumatatu wiki hii wakazindua new campaign.
 
lara 1 ni kama advocate ,anaweza kutetea jambazi akaonekana hana hatia na akamkandamiza mwenye haki akaonekana ni mwenye hatia ,ilike it nawe toa point zako kumpinga sio mwanaume mzima unajitetea kwa vimstari viwili
Endeleeni kujifariji wakati wenzenu wanaendelea na kazi kama kawaida!!
radio sio sawa na tv au bango,
Ina maana hufahamu kwamba zile billboards zinalipiwa kwa muda maalumu wa kampeni husika? Aidha hufahamu kwamba Jumatatu wiki hii wamezindua kampeni nyingine? By the way, mbona banner za Diamond bado zipo kwenye tovuti ya Vodacom?!

Poleni sana....
 
Hahaha wabongo bhana Vodacom wamebadilisha kampeni kwa ndo maana wanaweka mabango mengine
Na kwa taarifa tu kutokana na faida kubwa kwenye kampeni ya ongea deilee vodacom ni moja ya wadhamin wa reality show ya diamond itakayo acha hivi karibuni, wameingiza mpunga wa kutosha
 
screpa
cha ajab wanaume wanaoaminiwa kuwa wachanganuaji wa mambo kwa kutumia kichwa utakuta wamepangana kwenye vithread vyake kumpigia makofi na kumpampu.....ukiona ile alarm yake ya igweeeeeeeeeee .......anza kufatilia user names za wachangiaji chini yake......u wonder

Kumbe unamfuatilia??
 
We kweli hamnazo!! Kwahiyo unaamini ni kwasababu yako [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hivi unajua hata terms za ile deal??? Yani atafanya shoo ngapi za voda (kama ile ya mabibo)??? Tangazo la redio/tv litaruka Kwa muda gani?? etc
Endelea kujitekenya na kukenua meno??

Ungeeleweka vizuri kama ungetuambia hizo terms zikoje. Mfano, shoo zilitakiwa kuwa ngapi, picha zitakiwa kukaa kwenye billboard mda gani na radio/tv adverts zilipaswa kurun kwa mda gani. Kuongea in general hivi na wewe unabwabwaja tu.
 
Ungeeleweka vizuri kama ungetuambia hizo terms zikoje. Mfano, shoo zilitakiwa kuwa ngapi, picha zitakiwa kukaa kwenye billboard mda gani na radio/tv adverts zilipaswa kurun kwa mda gani. Kuongea in general hivi na wewe unabwabwaja tu.
Mkataba ni siri yao wao na wanasababu zao za kuufanya private!! hata Hiyo hela aliyolipwa ni siri yao sh ngapi?? Na hata kama nafahamu hizo mambo niweke taarifa confidential hapa for what??? Bcoz of Lara??? C'mon..
 
BINAFSI NIMEJIFUNZA JAMIIFORUMS IS BEYOND POWERFULL MEDIA.
Ni hakika na kweli kabisa katika hili.

Niliwahi kuwa na mgogoro na voda kuhusu huduma ya mpesa. nilizungumza nao kwa simu mara kadhaa bila mafanikio na walinitaka nifike kwenye ofisi zao.

Ila nilipowatumia PM kupitia JamiiForums, Swala langu lilishughulikiwa kwa haraka. Na simu walinipigia kuuliza kama nina shida nyingine.

Viva JF
 
Kuna uzi humu lara 1 anaelezea jinsi makampuni yalivyopotoka kumtumia Diamond kwa matangazo yake kama humaniser.

Uzi wenyewe ni huu: Pale makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Vodacom

Leo bango la pale Ubungo kona ya kwenda chuo kikuu UDSM wametoa picha ya Diamond na kumuweka dada fulani, pia eneo la Sayansi wametoa picha zake.

Hizo ni sehemu mbili nilizoona kwa leo, nadhani ndani ya wiki huyu jamaa hatakuwa hana bango hata moja.

Sasa sijui ni coincidence au dua la kuku limempata mwewe!
Wewe ulitaka hilo bango likae hapo milele? halafu mi najua hayo mabango yanakaa kwa muda maalumu kulingana na mkataba, sasa unavyosema wametoa as if una maanisha wamekatisha mkataba au sijui una maana gani, ebu muacheni mtoto wa watu, na sisi kachagulia kuwa balozi wa tomato, mtaji murder mwaka huu mxieee
 
Back
Top Bottom