Vodacom wahama kutoka kwa Master Card to Visa Card

Superpower

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2018
Posts
826
Reaction score
920
Jamani wamendwa hivi punde nimepokea sms ya kwamba m pesa master card haitopatikana Tena. Bali Kuna mpya ambayo ni M-pesa Visa Card.
 
Tofauti ni ipi..?
Je,itaweza kuleta huduma ya kupokea pesa..?
Vipi itakubalika ktk site zote..?
Tofauti ipo..mfano Skrill uki upload fund kwa MasterCard basi hizo dollar zako kila mtu atazikataa
 
Tofauti ni ipi..?
- Awali tulishindwa kuhamisha fedha toka Skrill kwenda kwa broker, iwapo (voda)mastercard ilitumika, Ila kwa sasa itawezekana, sababu visa haina restriction skrill kwenda kwa broker au any online casino.
Je,itaweza kuleta huduma ya kupokea pesa..?
Ndio, utapokea fedha yako kama kawaida.
Ni swala la kujaza taarifa sahihi katika web husika ili kulink kadi yako.
Vipi itakubalika ktk site zote..?
Bila shaka,

Nadhani hii ni moja ya sababu ya wao ku_switch from master to visa.

Swali zuri

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Ahsante kwa ufafanuzi mkuu maana nilizira kuitumia hi kisa Mambo hayo kutowezekana.
 
Hawa naskia refund inasumbua sana...
  • Lazima uwapigie simu.
  • Na ubahatike kupata customer care mwenye uelewa.

Iliwahi nitokea, nilihudumiwa na watoa huduma zaidi ya mmoja. Mtu wa tatu ndie alikuja kunielewa na kufanikisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…