Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
FNB bankbank yoyote unayifahamu charges ni ndogo?
Wana account tofauti tofauti,
Moja ya account hizo ni ambayo ina fixed charges ya 16,000 kwa kila mwezi,
Bila kujalisha hujafanya muamala ndani ya huo mwezi, au umefanya miamala 100 au zaidi, pia bila kujali kiasi cha fedha za maiamala utakayofanya, kwa mwezi husika, utakachokatwa kwenye account yako ni fixed.