FNB bankbank yoyote unayifahamu charges ni ndogo?
Hawa sio chaguo sahihi...hii case yako nishaiskia kwa watu zaidi ya wa 5
- Lazima uwapigie simu.
- Na ubahatike kupata customer care mwenye uelewa.
Iliwahi nitokea, nilihudumiwa na watoa huduma zaidi ya mmoja. Mtu wa tatu ndie alikuja kunielewa na kufanikisha.
Natumia back ABC.. very fairKuna bank yoyote unayifahamu charges ni ndogo? Maana ukinunua kitu ghali hizo asilimia zinaumiza sana.
Nmefurahi maana mastercard ina ma limitation mengi, mara oh usitumie pesa kwenye betting, ukitaka nunua cryptocurrencies via skrill kwenye localbitcoin, wauzaji wanakwambia hapokei pesa ambayo source ni mastercard. Skrill huwezi withdraw pesa via mastercard. Maujunga mengi. Visa safi kabisaJamani wamendwa hivi punde nimepokea sms ya kwamba m pesa master card haitopatikana Tena. Bali Kuna mpya ambayo ni M-pesa Visa Card.
Hawa walinipiga sitasahau, kila failed attempt ya kukata hela wanalamba 2000 kwenye account, ikifika zero inaenda negative, siku ukiweka Hela wanakata yote.Natumia back ABC.. very fair
Hawa mkuu unatakiwa uwe na uhakika na balance yako...ukizingua basi hapo ndio wanakunyosha...the rest wako poa,hakuna sehem inakwama hii card..kila chocho on-line inakatizaHawa walinipiga sitasahau, kila failed attempt ya kukata hela wanalamba 2000 kwenye account, ikifika zero inaenda negative, siku ukiweka Hela wanakata yote.
hii failed attempt fee/fine walikinikata laki nzima, sisahau hahaHawa walinipiga sitasahau, kila failed attempt ya kukata hela wanalamba 2000 kwenye account, ikifika zero inaenda negative, siku ukiweka Hela wanakata yote.
hii failed attempt fee/fine walikinikata laki nzima, sisahau haha
ilifanyika failed attempts nyingi mno ilihali sijui makato yake
ni Bure kabisaHao airtel wanakata asilimia ngapi?
mmmh! Kwenye kupokea sidhani maana ile ni credit card ni special for purchase ya kupokea ni debit card- Awali tulishindwa kuhamisha fedha toka Skrill kwenda kwa broker, iwapo (voda)mastercard ilitumika, Ila kwa sasa itawezekana, sababu visa haina restriction skrill kwenda kwa broker au any online casino.
Ndio, utapokea fedha yako kama kawaida.
Ni swala la kujaza taarifa sahihi katika web husika ili kulink kadi yako.
Bila shaka,
Nadhani hii ni moja ya sababu ya wao ku_switch from master to visa.
credit card
Je ni nini tofauti ya hizi card mbili?debit card
Duuh mzee kumbeHapo watakua wametisha sana....visa iko reliable sana kuliko MasterCard
Swali ni, inapokea hela?Hizo ni improvement tu katika huduma.. visa iko reliable sana..
Hata MasterCard ilikua inapokea hela...swali inapokea hela kutoka wapi?Swali ni, inapokea hela?
Ndio ndio kiongozDuuh mzee kumbe
Equity BankKuna bank yoyote unayifahamu charges ni ndogo? Maana ukinunua kitu ghali hizo asilimia zinaumiza sana.
Gharama kiasi gani ama asilimia ngapi kwa transaction?Equity Bank