I'm also curious to know..Gharama kiasi gani ama asilimia ngapi kwa transaction?
kweli kabisa mkuu, sometime usipokuwa makini wanakata tu hela, jamaa wana hidden fees nyingi. mfano crdb ukitumia app ukiangalia tu history ya miamala wanakata 1000, na hakuna taarifa wala hawatumi sms, kwa mtu asieelewa anayepekua app kila siku unakuta unapoteza hela nyingi bila kujua.I'm also curious to know..
The worst thing about hizi bank wana hidden fees nyingi za kijinga jinga. Tofauti na mobile money, you're charged only when you perform a transaction
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Mm pia natumia bank abc visa card nimefungua usd a/c ipo vizuri wanauza $20, kwa miaka 3 nadhani ndo una expire awana makato yoyote kwa transaction ukifanya , issue ya kujatwa ukiwa una hela yakutosha huo muamala niliwauliza wakasema tatizo sio wao tatizo ni visa ndo wanakata wenyewe sio waoHawa walinipiga sitasahau, kila failed attempt ya kukata hela wanalamba 2000 kwenye account, ikifika zero inaenda negative, siku ukiweka Hela wanakata yote.
so ina maana hilo tatizo linakuja Voda?Mm pia natumia bank abc visa card nimefungua usd a/c ipo vizuri wanauza $20, kwa miaka 3 nadhani ndo una expire awana makato yoyote kwa transaction ukifanya , issue ya kujatwa ukiwa una hela yakutosha huo muamala niliwauliza wakasema tatizo sio wao tatizo ni visa ndo wanakata wenyewe sio wao
Voda wanakata asilimia 10.48 nimepiga hesabu nimeona