VODACOM wameachia rasmi

Kweli kabisa. Narafuta mtandao ambao ndiyo una nafuu ya GB data maana ninatumia sana mtandao. Voda itabaki kwa mambo mengine maana ni official line yangu ya contacts za biashara. Voda hovyo KABISA.
 
Baada ya maelfu ya watumiaji kuhama mtandao wao sasa VODACOM wameachia vifurushi baada ya kubana kwa karibia mwezi mzima.

Tutarajie Halotel na Airtel kujibu mapigo kwa kushusha hadi wateja wapate 1GB kwa sh.500.View attachment 1767268
Kweli wamefanya mabadiliko lakini sio kwa Simcard zote, mimi ninazo laini zao kama tatu lakini moja tu ndio wamebadilisha menyu
 
Acha uongo wewe!! Hii JF imevamiwa na Watoto wa shule!! Ni shida! Unawezaje anzisha uzi wa uongo?? Inakusaidia nn??
Vodacom bado hawajashusha bei za Vifurushi!! Labda mmeshushiwa huko Buza Kwa Mpalange.
Mkuu jamaa ni kweli yake, hayo mabadiliko sio kwa laini zote, ni baadhi tu mimi nimetest laini tatu, ila moja ndio inabadiliko hilo
 
Kweli wamefanya mabadiliko lakini sio kwa Simcard zote, mimi ninazo laini zao kama tatu lakini moja tu ndio wamebadilisha menyu
Hapo sawa. Sasa kuna watu wanabisha humu. Mimi nina laini moja tu ndio hii walioshusha vifurushi. Na hapa nipo youtube nakula mahubiri/Neno la Mungu kutoka Texas[emoji3]
 
Ni uzushi na upuuzi
Ndugu yangu sema laini yako ndio hawajarudisha. Mimi kuanzia leo saa nne nimerudi vod baada ya kushusha vifurushi. Watakuwa wanaendA kwa awamu. Wateja milioni 20 sio mchezo.
 
da wameachia nimeona meseji yao safi sana ndungulile
Halafu wameachia kwa SISI WATEULE wachache. Wengine kibano kinaendelea[emoji3][emoji3][emoji3]

MITANO TENA KWA NDUGULILE.
 
mbona hamna hiyo huduma kiongozi
Ipo mkuu. Labda wanaenda kwa awamu. Halafu wangekuwa wanatoa ufafanuzi ili wateja wajue kwanini wengine waachiwe halafu wengine kibano kiendelee[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…