Vodacom wasafi festival yaandika historia mpya mjini Iringa

Shoo ya Bure usipojaza watu ujue una gundu, Domo kawapatia sana voda, acha apige mkwanja!.
 
hili nyomi halijawahi kutokea hii ndo show kubwa ya funga mwaka

Diamond si mtu mzr kbsa bado anaendelea kuwajambisha majirani

PICHA ZINGINE ZITATUPIWA
wasalimie watoto wazuri wazuri wa mwembetogwa sec school hawajui kukataa wale mabinti...
 
hili nyomi halijawahi kutokea hii ndo show kubwa ya funga mwaka

Diamond si mtu mzr kbsa bado anaendelea kuwajambisha majirani

PICHA ZINGINE ZITATUPIWA
Kiingilio ilikuwa ni pesa ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…