Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wasalimie watoto wazuri wazuri wa mwembetogwa sec school hawajui kukataa wale mabinti...hili nyomi halijawahi kutokea hii ndo show kubwa ya funga mwaka
Diamond si mtu mzr kbsa bado anaendelea kuwajambisha majirani
PICHA ZINGINE ZITATUPIWA
Wamesafirishwa na maroli ama!Iringa tupo mazuzu wengi sana,,,wacha tujae tu aiseeee. Hapo kuna watu wamesafiri kutoka makambako, mufindi na makete kisa WCB
Wangap wanafanyaga show za pesa hiyo na ata ukumbi wa harusi wa kutosha watu 100 hawajai [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] team kutokosa sababu nanyiKiingilio buku lazima watu wajae
Kuna uzi hapa hapa kuhusu shoo hiyo,lakini si mbaya cheki hii.Mbona picha za beach party hamkutupia tukaona mmeweka tu za Iringa??
Kiingilio ilikuwa Buku 10.Kiingilio buku lazima watu wajae
Kiingilio ilikuwa ni pesa ngapi?hili nyomi halijawahi kutokea hii ndo show kubwa ya funga mwaka
Diamond si mtu mzr kbsa bado anaendelea kuwajambisha majirani
PICHA ZINGINE ZITATUPIWA
Hamkosi la kusemaPicha zimeeditiwa hizo.hazina tofauti na zile zilizokuwa zinaeditiwa kwenye kampeni za UKAWA
Ahahaaaaaaaah...Picha zimeeditiwa hizo.hazina tofauti na zile zilizokuwa zinaeditiwa kwenye kampeni za UKAWA
Baada tuhuma za kununua tuzo views na mashabiki kumeibuka kitu kingne ambacho n kuediti pichaAhahaaaaaaaah...
Nimecheka sana..!
Ama kweli mtu MWEUSI huwa hakosi NENO..!