omari nyembo ana show NANTUMBOIv Omy Dimpoz ana show wapi????
kwa io we ndo unajifanya unaujua muziki kuliko watu wengine? watu wengine bana...Hivi jamani kweli wewe utaingia kuangalia show wakati hakuna kipya ni almost kila show the same na hapa siongelei Diomond ni mpaka kina Kiba na wengine kwa ujumla wasanii wote hawana kipya na hii naita boom ila watu watachoka. Watu wanaingia ushamba tu hivi mmeona hata audiance yao mpaka Fiesta yaani watu wekujuwa miziki wanaenda kwa kualikwa tu kibiashara. Mimi binafsi siwezi kuingia kuangalia na ni wote tu mpaka siku nione wanapiga real live music. Niliwahi kumuona Shaggy wakati kaja D. Jubilee thats what we call live music maana kama unsikiliza CD.
Nyie mliweka picha za club Dodoma???? Za kingMbona picha za beach party hamkutupia tukaona mmeweka tu za Iringa??
Hivi jamani kweli wewe utaingia kuangalia show wakati hakuna kipya ni almost kila show the same na hapa siongelei Diomond ni mpaka kina Kiba na wengine kwa ujumla wasanii wote hawana kipya na hii naita boom ila watu watachoka. Watu wanaingia ushamba tu hivi mmeona hata audiance yao mpaka Fiesta yaani watu wenye kujuwa miziki wanaenda kwa kualikwa tu kibiashara. Mimi binafsi siwezi kuingia kuangalia na ni wote tu mpaka siku nione wanapiga real live music. Niliwahi kumuona Shaggy wakati kaja D. Jubilee thats what we call live music maana kama unsikiliza CD.
Kila cku anafanyiwaga yy tu...mombasa pia alifanyiwa hahaha mshaurini acheni kushabikia upuuzi...abadilike huyo kibakuli wenu else ataloose daily. ...... chibu oyeee....Walichomfanyia King Dodoma sio kizuri,wewe fundi mitambo salam malipo ni hapa hapa duniani(in king's voice)