Vodacom wasafi festival yaandika historia mpya mjini Iringa

Vodacom wasafi festival yaandika historia mpya mjini Iringa

ukilichukia li mond ndo unang'arisha nyota yake ila wcb ni wachawi balaa
 
hizi habari si nzuri kabisa na ukizingatia sisi upande wetu tulikua na show Dodoma afu tukashindwa kuperform sijui tuliogopa mafuriko ya wenzetu wcb sisi tukaona hata aibu kuperform daaah.....mond bhana.
 
Hivi jamani kweli wewe utaingia kuangalia show wakati hakuna kipya ni almost kila show the same na hapa siongelei Diomond ni mpaka kina Kiba na wengine kwa ujumla wasanii wote hawana kipya na hii naita boom ila watu watachoka. Watu wanaingia ushamba tu hivi mmeona hata audiance yao mpaka Fiesta yaani watu wekujuwa miziki wanaenda kwa kualikwa tu kibiashara. Mimi binafsi siwezi kuingia kuangalia na ni wote tu mpaka siku nione wanapiga real live music. Niliwahi kumuona Shaggy wakati kaja D. Jubilee thats what we call live music maana kama unsikiliza CD.
kwa io we ndo unajifanya unaujua muziki kuliko watu wengine? watu wengine bana...
 
Njombe inaongoza kwa UKWIMWI-HIV duniani.
Mkoa wa Iringa/Njombe unaongoza kwa UKIMWI.

Huyu Free Mason Diamond kaja kutuongezea.Fikiri watu walivyokuwa wanafanya ngono kila kona kuanzia uwanjani pale ,Gangilonga,hotel Kalenga walilazwa wanafunzi wa RUCO na Tumaini,Iringa Girls na Lugalo walijaza gesti za Kule Kihesa na Mtwivila,Baba nusa hotel pale nlienda nikakuta mijibaba na wacheza shoo wa WCB wapo na vitoto vya sekondari ya Don Bosco ile karibu na Ruco Pale Wilolesi,eeh Mungu hili jitu la sanamu limekuja kutuulia watoto wetu,Bora hao wa kaskazini wanaowekwa ndani na kupotea kuliko sisi tunauwawa kwa ukimwi na jitu moja tu kutoka Dar/WCB
 
Hivi jamani kweli wewe utaingia kuangalia show wakati hakuna kipya ni almost kila show the same na hapa siongelei Diomond ni mpaka kina Kiba na wengine kwa ujumla wasanii wote hawana kipya na hii naita boom ila watu watachoka. Watu wanaingia ushamba tu hivi mmeona hata audiance yao mpaka Fiesta yaani watu wenye kujuwa miziki wanaenda kwa kualikwa tu kibiashara. Mimi binafsi siwezi kuingia kuangalia na ni wote tu mpaka siku nione wanapiga real live music. Niliwahi kumuona Shaggy wakati kaja D. Jubilee thats what we call live music maana kama unsikiliza CD.


Hater [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Walichomfanyia King Dodoma sio kizuri,wewe fundi mitambo salam malipo ni hapa hapa duniani(in king's voice)
Kila cku anafanyiwaga yy tu...mombasa pia alifanyiwa hahaha mshaurini acheni kushabikia upuuzi...abadilike huyo kibakuli wenu else ataloose daily. ...... chibu oyeee....

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom