vodacom washituka

vodacom washituka

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
1,780
Reaction score
355
nimeipata sms hii midahii nikiwa nahama rasmi from voda to airtel "HABARI NJEMA! Dakika za Cheka Bombastik za kupiga mitando yote Tanzania zimerudi. Piga *149*01# sasa kuchagua kifurushi upendacho! Vodacom, Kazi ni Kwako!" chanzo vodacom.
 
tushahama , harudi mtu hata mfanyaje
 
Ila kweli m-pesa mnatufaidi mshindwe tu kujenga kampuni ya kutengeneza simu dar mimi airtell kama naiona vile hiiiyo mi naamia

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wezi .... hata binafsi mie niliona sms .... niliwahama kwa simu za kupiga..
 
Voda wajinga sana cku izi ukiomba menu yao unaletewa ya tigo mara ya airtel, cjui wamekuwa takenover! afu wanatubania sana cheka zao, nahama pia...!
 
nimeipata sms hii midahii nikiwa nahama rasmi from voda to airtel "HABARI NJEMA! Dakika za Cheka Bombastik za kupiga mitando yote Tanzania zimerudi. Piga *149*01# sasa kuchagua kifurushi upendacho! Vodacom, Kazi ni Kwako!" chanzo vodacom.

wafungue bank tu hao,
 
Tatizo hata hivi vifurushi vyao vya sasa wanatuibia. Yaani ukinunua dakika hautatumia zote wanakutumia kimeseji chao "dakika zako za kufurushi zimeisha".

Wana ujinga sana voda wao wafanye biashara ya M-Pesa tu.

Siku hawa Airtel wakijiweka sawa na Airtel Money yao yaani Voda ndo itakuwa kwisha habari yako
 
Mnangoj nn kuhamia airtel.ni safe n cheap kuliko ht bank no transaction cost no wht yn its so so so gudo
 
Wezi .... hata binafsi mie niliona sms .... niliwahama kwa simu za kupiga..

Hawa jamaa niliwahama na nimeteseka sana ukiweka kifurushi kinaisha within no time. Hivi wanasubiri hadi hadi wateja waishe ndo wakimbie kimbie kurudisha vifurushi? hii ni failure kubwa ya idara ya market research ya VODA kwani kama mimi naweka tigo ya mwezi na haikati na mwezi unaisha bila kumaliza.
 
wakuu huko airtell kuna nini mbona mnakusifia sana??
Mim nipo tigo na maisha yanaenda kwa hawa voda hawana jipya hata mm nakubali kwanza saiv wanakatam kwa dakik na si seconds
 
tigo min kabang ndio babalao
unaongea hadi unaishia usingizini
 
Back
Top Bottom