Vyote viwili, kopo na yaliyomo.Hiyo 850K ni hicho kikopo chenye logo ya Voda au ndani yake kuna kitu kikubwa chenye thamani ya kulingana na hiyo pesa?
Hiyo 850K ni hicho kikopo chenye logo ya Voda au ndani yake kuna kitu kikubwa chenye thamani ya kulingana na hiyo pesa?
Watakuwa wana utani na hela hawaVyote viwili, kopo na yaliyomo.
Kwani hizi internet configurations wanazopigia promo humu jukwaani kuwa ni za 5G kwa bei ya 115,000 kwa mwezi ina maana ni uzushi?Ni bei ya icho kikopo tu wala haijumuishi malipo ya mwezi ya mojawapo ya vifurushi vyao vya 5G. Walitakiwa watafute nje ya kula hizi cost.
Hiki ulichokisema ndiyo sahihi mkuuHizo router za 5G zitakuwa ni kwa ajili ya enterprises na sio home maana naona hapo mpaka watu 64, 200
Kwani hizi internet configurations wanazopigia promo humu jukwaani kuwa ni za 5G kwa bei ya 115,000 kwa mwezi ina maana ni uzushi?
5G ni 120,000Kwani hizi internet configurations wanazopigia promo humu jukwaani kuwa ni za 5G kwa bei ya 115,000 kwa mwezi ina maana ni uzushi?
Labda kama kuna dhahabu ndani!Hiyo 850K ni hicho kikopo chenye logo ya Voda au ndani yake kuna kitu kikubwa chenye thamani ya kulingana na hiyo pesa?
Wanazingua tu hawa Voda ubabaishaji mwingi5G ni 120,000
4G ndo 115,000
Okay, ila sema wameweka bei kubwa sana kwasisi watumiaji wa kawaida ilifaa wawe na kianzio cha chini kidogo walau hata 70KHii ni kitu wamezindua leo
Ile ya Supakasi naamini ipo na unaingia nao mkataba wa mwaka mmoja, hivyo watakuwa wanakupa Router kwa kukodi kama ilivyo kwa Fibre ( wanakupa kila kitu bure ukiacha kulipia wanavichukua). Ila nikiongea na hawa jamaa wa Supakasi waje kunifungia home kila siku ninazungushwa tu mara jamaa wa survey watakuja, sijui nini.
Mbona mimi sijaona ubabaishaji wao, wamenipea deviceWanazingua tu hawa Voda ubabaishaji mwingi
Mbona mi sijaona ubabaishaji wao, wamenipea device