Vodacom wazindua Router za 5G, bei pasua kichwa

Hiyo ndo hatari iliyopo, hapo wangeconnect line tu na hiyo huduma then device utajua mwenyewe.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 

Ama kweli, Haya Maisha wanaejoy Wachache
 
Ama kweli, Haya Maisha wanaejoy Wachache
Kibongo bongo internet zaidi ya 40mbps ni anasa tu, na hio 40mbps ni mtu ambaye kajipanga sawasawa nyumbani tayari Kuanzia 4k TV na HDR, Netflix ananunua 4k, Deki zake za 4k etc.

Otherwise kikawaida 10mbps inatosha matumizi ya kawaida ya ya Full HD.

Na ukijibana chinia ya 5mbps maisha yanaendelea na HD ya kawaida.
 
Hiyo 850K ni hicho kikopo chenye logo ya Voda au ndani yake kuna kitu kikubwa chenye thamani ya kulingana na hiyo pesa?
Bro nimecheka mbele ya mkuu wangu na tuko kwa kikao umenifanya nijibu hoja nisizozitaka
 
Mwenye ufahamu ussd au Menu ya kununulia vifurushi vya 5G router voda. Naomba msaada
 
Kwa nahitaji Gani ya Internet hapa Bongo ? Au unataka kwenda mwezini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…