Vodacom yaendelea kuwa kinara idadi kubwa ya laini zilizosajiliwa, Airtel na Tigo mpambano wa kimya kimya!

Vodacom yaendelea kuwa kinara idadi kubwa ya laini zilizosajiliwa, Airtel na Tigo mpambano wa kimya kimya!

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
TCRA imetoa takwimu mpaka mwezi Juni 2023 ambapo jumla ya laini za simu zilizosajiliwa zimefikia 64,088,651 huku mtandao wa Vodacom ukiwa kinara.

ORODHA

1. Vodacom - 19,116,166

2. Airtel - 17,505,139

3. Tigo - 17,484,387

4. Halotel - 8,410,029

5. TTCL - 1,559,090

6. Smile - 13,840​

TCRA imetoa takwimu mpaka mwezi Juni 2023 ambapo jumla ya laini za simu zilizosajiliwa zimefikia 64,088,651 huku mtandao wa Vodacom ukiwa kinara.

ORODHA

1. Vodacom - 19,116,166​

2. Airtel - 17,505,139​

3. Tigo - 17,484,387​

4. Halotel - 8,410,029​

5. TTCL - 1,559,090​

6. Smile - 13,840​

Zantel vp....au zimejumuishwa pamoja kwenye Tigo
 
Back
Top Bottom