Vodacom yafafanua changamoto ya mtandao inayoendelea, wanashughulikia kumaliza tatizo

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Ndugu zangu wana Jamvi mnakumbuka siku chache zilizopita, baadhi ya wateja wamekumbana na changamoto za kutumia huduma ya mtandao wa Vodacom?

So Vodacom Tanzania hivi sasa wanafanya maboresho muhimu ya mifumo ya TEHAMA kwa lengo la kuboresha huduma kwa wateja wake.

Soma, Pia: Mtandao wa VODACOM umekuwa una shida sana poleni mnaotumia Voda pekee

Katika taarifa yao wanasema maboresho hayo yataimarisha mtandao kwa manufaa ya wateja wote. Maboresho yanatarajiwa kukamilika ifikapo katikati ya Novemba.
5839048046988608581.jpg
 
Upuuzi mtupu ,inatakiwa CTO afukuzwe kazi ,service yeyote inabidi iwe na redudancy kama TCRA na BOT wanavyosisitiza kuwe na DR tena katika different location.

Mtandao mkubwa kama vodacom kuwa na ukosefu wa huduma ni uzembe wa Chief Technical Officer.
 
Wana kila aina ya redundancies......wana BCP pia.....issues za technical kuna wakati zinazingua tu....watakaa sawa tu
 
....Jana nililala njaa, fweza haitaki kutoka kupitia M pesa!, hivi kuna wananzania wangapi walipata hasara jana?,wanafidiwa vipi?..
 
Hili ni tatizo kubwa na mamlaka zinapaswa kuingilia kati, Kuna miamala imefanyika toka jana mpaka leo inahang, wagonjwa wako mahospitalini, wengine wanalipa mikopo, wengine nauli kwa ajili ya safari, wengine ni hela za biashara.

Hawako serious aisee au labda kuna mengine yanaendelea, wanagetoa tahadhari na kupiga stop watu kutumia miamala mpaka hapo watakapokuwa stable, otherwise ni kuleta usumbufu na kuumiza watu tu.
 
Wana kila aina ya redundancies......wana BCP pia.....issues za technical kuna wakati zinazingua tu....watakaa sawa tu

Total Outage ni uzembe ,Service availability ilikuwa 0% ,no mitigation,no redundancies ,etc! Mtandao hupo zaidi ya miaka 20 lakini hawana service pool? ilitakiwa wawe na Network zaidi ya tatu zinazowork in Pool na ziwe katika locations tofauti tofauti ikitokea problem kwenye netwokr moja nyingine ziwe zinaserve ,haitakiwi kuwe na total downtime ,waki implement hiyo solution atleast kukiwa na tatizo service availability inakuwa more than 50%...Wasitegemee DC moja tu ya TMSO.
 
Nafikiri chote ulichoandika wanacho.......DC zipo zaidi 4.....ngoja tuwatafute tujue shida nini....ila wamejipanfa.....but shits happen in life
 
Huu mtandao umekaa kihuni huni sana. Na ndiyo maana hata vifurushi vyao vingi huisha kabla ya wakati.
 
Nafikiri chote ulichoandika wanacho.......DC zipo zaidi 4.....ngoja tuwatafute tujue shida nini....ila wamejipanfa.....but shits happen in life

Inawezekana wakawa nazo lakini hazifanyi kazi in Pool ,kwa mfano tigo wana DC mbili moja ipo TEMEKE na nyingine SALASALA ,ikipiga chini DC moja nyingine ina serve ,Halotel wana DC mbili moja ipo Migombani kwa Kikwete ,nyingine ipo King'oko zote zina work in POOL ndiyo maana hauwezi kukuta wamepata total OUTAGE ,voda si mara ya kwanza kuwa chini MAZIMA ,CTO anafanya Uzembe wa hali ya juu...TCRA inatakiwa wawapige penati ya mabilioni ili akili yao ikae sawa.
 
Nafikiri voda ana DC 4.....kwale mbezi juu dodoma mbeya na arusha ( media gateways)....ngoja tuwatafute....tujue shida ilikuwa nini.....mambo technical sio ungwini....its hand on huwa zinagoma sababu nje uwezo....watakuwa wakejifunza na kurekebisha....mara mwisho total outage ilikuwa 2013 October....nakumbuka...!!! Mimi mdau wa tech na communications.....
 
Back
Top Bottom