Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wana kila aina ya redundancies......wana BCP pia.....issues za technical kuna wakati zinazingua tu....watakaa sawa tuUpuuzi mtupu ,inatakiwa CTO afukuzwe kazi ,service yeyote inabidi iwe na redudancy kama TCRA na BOT wanavyosisitiza kuwe na DR tena katika different location.
Mtandao mkubwa kama vodacom kuwa na ukosefu wa huduma ni uzembe wa Chief Technical Officer.
Wana kila aina ya redundancies......wana BCP pia.....issues za technical kuna wakati zinazingua tu....watakaa sawa tu
Nafikiri chote ulichoandika wanacho.......DC zipo zaidi 4.....ngoja tuwatafute tujue shida nini....ila wamejipanfa.....but shits happen in lifeTotal Outage ni uzembe ,Service availability ilikuwa 0% ,no mitigation,no redundancies ,etc! Mtandao hupo zaidi ya miaka 20 lakini hawana service pool? ilitakiwa wawe na Network zaidi ya tatu zinazowork in Pool na ziwe katika locations tofauti tofauti ikitokea problem kwenye netwokr moja nyingine ziwe zinaserve ,haitakiwi kuwe na total downtime ,waki implement hiyo solution atleast kukiwa na tatizo service availability inakuwa more than 50%...Wasitegemee DC moja tu ya TMSO.
Ni kamzozo tena usithubutu kutumia Mpesa kwa hizi siku kulipa bills .Utadhalilika.Uzembe tu ndio sababu pekee...
Kwa ukubwa wa Vodacom na uwekezaji wao, haipaswi wawe na single point of failure...
Unless wawe wametembelewa na hackers
Nafikiri chote ulichoandika wanacho.......DC zipo zaidi 4.....ngoja tuwatafute tujue shida nini....ila wamejipanfa.....but shits happen in life
Nafikiri voda ana DC 4.....kwale mbezi juu dodoma mbeya na arusha ( media gateways)....ngoja tuwatafute....tujue shida ilikuwa nini.....mambo technical sio ungwini....its hand on huwa zinagoma sababu nje uwezo....watakuwa wakejifunza na kurekebisha....mara mwisho total outage ilikuwa 2013 October....nakumbuka...!!! Mimi mdau wa tech na communications.....Inawezekana wakawa nazo lakini hazifanyi kazi in Pool ,kwa mfano tigo wana DC mbili moja ipo TEMEKE na nyingine SALASALA ,ikipiga chini DC moja nyingine ina serve ,Halotel wana DC mbili moja ipo Migombani kwa Kikwete ,nyingine ipo King'oko zote zina work in POOL ndiyo maana hauwezi kukuta wamepata total OUTAGE ,voda si mara ya kwanza kuwa chini MAZIMA ,CTO anafanya Uzembe wa hali ya juu...TCRA inatakiwa wawapige penati ya mabilioni ili akili yao ikae sawa.
Technical wanarun links/Connections 1+1 or Active/StandBy mode ,lazima kuwe na protection ,mangwini ndiyo wanatembea na one leg.mambo technical sio ungwini