Vodacom yapata hasara ya shillingi bilioni 5.06 ndani ya miezi sita kutoka Septemba 2020

Safisana hao voda wezi sana! Vifurushi vya internet wanatufilisi mno watumiaji unakuta kifurushi kinasema ni cha saa 24 lakini baada ya nusu saa tu unaanza kupokea vimeseji ndugu mteja kifurushi chako kimekwisha kununua kingine piga....??? Hivi mimi natoa hizo pesa wapi za kukamua GB 1 ndani ya nusu saa tu!
Hasara nyingine mjue ni malipo ya hapahapa duniani!
 
Jaji Mihayo ana nafasi kubwa ya kufanya kama alivyofanya kule NEC.Huku VODA si ndio mwenyekiti kabisa?. Atulaghai vifurushi tu
 
Taarifa ILIYOISHIA September 2020 wewe unasema Taaifa ya miezi sita tokea September 2020. Mbona habari ya kingereza inaeleweka, kubadilisha tuu kichwa cha habari unashindwa!!!!!!!!
 
Wangetumia vpn yasingetokea yote hayo[emoji1787][emoji23]
hata SONGESHA wamenibamiza sana kumbe wana mbabe wao?
nyie M-Pawa msinipige mkwara tena, kila mtu achunge chake hata mm nadaiwa TRA
 
Vodacom kwasasa ni PLC wanafanya huu ujanja ili kupiga pesa za Wanahisa yaaani Walalahoi wa Kitanzania. Hakuna cha Loss wala ndugu yake ni Ujanja wa Kimafia tuuu.
 
Mzee kwani hujala gawio mwezi huu wa 11, nimeamka asubui jana nakutana na meseji ya gawio la hisa nono tu.
Aisee Mimi bado sijapokea aisee. Ngoja nikutumie. Gawio lao mbona la hovyo tu? Hawezi kushindana na kampuni za maana hata tu NMB imewapita mbali sana kwa gawio.
 
Plus more than 20b zilizokwapuliwa kwa mabavu na wanakijani kutoka huko Vondacom kipindi cha kuelekea tarehe ya uchafuzi mkuu. Hapo lazima wanyoroke.
 
Vodacom kwasasa ni PLC wanafanya huu ujanja ili kupiga pesa za Wanahisa yaaani Walalahoi wa Kitanzania. Hakuna cha Loss wala ndugu yake ni Ujanja wa Kimafia tuuu.
wanahisa wengi hajui PLC ni nini! wanajua tu kujumlisha hisa na kukisia faida
 

Wanarudisha pesa waliyokua wameikwiba. Na hapo hata waseme wanataka kukimbia hawawezi hadi walipe hadi tone la mwisho

Sijui jumla kwa hiyo miaka 10 wanadaiwa shilingi ngapi...
 
Kufuatia uchumi wangu kuyumba naunga unga voda wananikamua riba kubwa sana 19%;10% mpawa na songesha. Riba zao si rafiki kwa wadogo, basi tu ushindani bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…