Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdiyooooKufuatia uchumi wangu kuyumba naunga unga voda wananikamua riba kubwa sana 19%;10% mpawa na songesha. Riba zao si rafiki kwa wadogo, basi tu ushindani bado.
Wao ni watetezi wa 'wanyonge'.Sijawahi kuona TTCL wakipigwa faini, sijui Ni uzalendo, sijui Ni idadi ya wateka?
Hebu wafanye hivyo haraka,vijana waje mtaani wajiajiri.Wanajuta kwa kuwapa gawio kabla ya mahesabu haya kutoka!!! Muda si mrefu itawabidi wapunguze wafanya kazi!!!
Nawashangaa eti wanapata hasara! Wamepita na kifurushi changu cha kasi speed internet cha 50,000tsh cha mwezi, 10,000tsh dakika mitandao yote! Nawapigia majibu niliyojibiwa na yule mdada sitasahau! Ndani ya siku mbili bila kuweza kutumia bidhaa walizoniuzia wanaishia kunitumia SMS inayonyesha kuwa nina 0 GB , 0 Dakika! Aisee sawa Vodacom!View attachment 1628441
Vodacom (T) imeripoti hasara ya shillingi bilioni 5.06 miezi sita kutoka Septemba 2020 kwa sababu ya adhabu dhidi ya makosa ya zamani yanazohusiana kodi kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita.
Kulingana na maoni ya wachambuzi mbalimbali, ripoti hiyo ya nusu mwaka kwa kipindi hiki imechora picha mbaya kwa kampuni hiyo kubwa nchini.
Licha ya kurekodi faida ya shillingi bilioni 1.74 kabla ya ushuru, - kampuni iliripoti hasara hiyo ya shillingi bilioni 5.06 - kwa sababu ya adhabu ya ushuru ya shillingi bilioni 5.9bn.
====
Vodacom (T) reported a net loss of 5.06bn/- in six months to September due to tax penalties dated back over 10 years ago. Semi-annual financial results for the period painted a dire portrait of the giant telco in the country, according to some analysts. Financials despite recording profits before tax of 1.74bn/- the company reported a net loss of 5.06bn/- due to tax penalties of 5.9bn/- for the treatment of capital allowances in 2006-2009.
The Court of Appeal ruled on a dispute in respect of capital allowances for these years. Orbit Securities said in its Weekly Market Synopsis on Monday that Voda reports raised the tax rate for the period to 390.7 per cent from 30.6 per cent in 2019. “Normalising tax penalties, net profit will stand at 835m/-, which is still 98 per cent lower compared to a similar period in 2019,” Orbit said. Vodacom is listed on Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) and its share was start the week trading at 770/-, which is drop of 9.41 per cent since January.Its financial statement showed that operating profits fell by 78.5 per cent, as a result of subdued revenue and constant expenses. Topline revenue fell by 10 per cent, while total expenses fell marginally by 0.4 per cent influenced by a drop in direct expenses, while all other expenses rose.
The gross margin has lowered by 100 basis points (bps) to 69.55 per cent, while the operating margin has fallen by 10.8 percentage points to 3.39 per cent, indicating tightening revenue than expenses. “The main challenge that led to such dire results was pricing pressure from increased competition considering the concentration of the telecom sector,” Orbit’s synopsis said. For instance, the leading stock brokerage firm said, as a result mobile data revenue fell by 4.2 per cent, while data traffic during a similar period rose by 43.8 per cent. According to reports by the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), the price per megabyte (MB) charged by Vodacom dropped by 80 per cent during the period from 205/- per MB in September last year to 40/- per MB in this September. Voice tariff has also fallen by 69 per cent during a similar period, and the trend is seen in almost all services.
Despite these challenges, Vodacom was able to pay a dividend of 427.46bn/- during the week under review, further eating up the company’s cash balance reported up to 630.66bn/- as at the end of this September. Orbit has it that lowered cash balance will possibly limit finance income in the coming periods as well as limit the company’s capacity to utilise expansion opportunities. “The telco also has to step up capital expenditure to sustain maintenance of depreciable assets as depreciation expenses have been consistently exceeding capital investments,” the brokerage firm said.
Source:
![]()
Mpigwe tuu mpaka akili ziwakae vizuriAu ndiyo maana juzi walinipiga nini 1gb yangu, kufidia hasara yao ?
Hahahahha pole sanaNawashangaa eti wanapata hasara! Wamepita na kifurushi changu cha kasi speed internet cha 50,000tsh cha mwezi, 10,000tsh dakika mitandao yote! Nawapigia majibu niliyojibiwa na yule mdada sitasahau! Ndani ya siku mbili bila kuweza kutumia bidhaa walizoniuzia wanaishia kunitumia SMS inayonyesha kuwa nina 0 GB , 0 Dakika! Aisee sawa Vodacom!
Nineshahama lakini ila sitawasahau!
mbwa haoJana nimetoa 9000 wakakata buku. Yaani ni bora nichukulie Hela yangu kwa ATM tu
ndelee kupata hasara ili mkome! Wabongo mna laana ya kisukule sana.😂Hata sisi huwa tunapata hasara unanunua kifuruchi cha dk 50 hata hujaongea na wapendwa wako wote kifurushi kinaexpire
Mpigwe mpaka mchakae,.kwani mitandao mingine hamna.ndio maana wamekuwa wezi wa fedha za watu kwenye simu, pamoja na kupandisha bei vifurushi maradufu, huku bado vifurushi hivyo ghali wakiwaibia wateja wao. Gb1 ya voda 4g ni tofauti kabisa na Gb 1 ya Tigo 4g katika kuisha kwake.
pigwa mtachakaaNdo maana wanameza data kufidia hasar
Ntafurahi kweli wakipasuliwa 😂😂😂 maana watu ni wabishi sana. Kifurushi hata cha GB 1 yakiuziwa ef 50 nayo yamo tu 😂😂😂Wateja wa Voda hiyo hasara wataifidia tu
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Mi naona wawaanzishie tu. Laini lao napokelea hela tu kutoka ulaya ila mbali na hapo siweki vocha hata ya bahati mbaya😂Vodacom walivyo wezi wanapataje hasara? au ndiyo kujinyenyekeza! wakiamua kukata sh100 kwa kila mteja hiyo hasara inatokeaje.?
Hahahhaah wahuni na majambazi wabobezi Ltd. Mtapigwa mtachakaa 😂😂😂 1GB lazma muuziwe elfu 12 tu500 dk 15 na dk 5 za saa sita usiku😄😄😄😄😄
Sasa unachekelea nini wakati ndio wataongeza wizi. Saivi usijichanganye kuacha salio wazi. Utakuta wamenyofoa sh. 100! bila kuelewa au wanakulamba 2000 yako inayoshangaa kwenye accountSafisana hao voda wezi sana! Vifurushi vya internet wanatufilisi mno watumiaji unakuta kifurushi kinasema ni cha saa 24 lakini baada ya nusu saa tu unaanza kupokea vimeseji ndugu mteja kifurushi chako kimekwisha kununua kingine piga....??? Hivi mimi natoa hizo pesa wapi za kukamua GB 1 ndani ya nusu saa tu!
Hasara nyingine mjue ni malipo ya hapahapa duniani!
😂😂😂😂😂😂 watakaochapwa hii bakora ni misukule ya 0746,0753Plus more than 20b zilizokwapuliwa kwa mabavu na wanakijani kutoka huko Vondacom kipindi cha kuelekea tarehe ya uchafuzi. Hapo lazima wanyoroke.
Wamepata hasara ndogo hawa majizi. [emoji57]View attachment 1628441