Vodacom yapata hasara ya shillingi bilioni 5.06 ndani ya miezi sita kutoka Septemba 2020

Sijawahi kuona TTCL wakipigwa faini, sijui Ni uzalendo, sijui Ni idadi ya wateka?
 
Kufuatia uchumi wangu kuyumba naunga unga voda wananikamua riba kubwa sana 19%;10% mpawa na songesha. Riba zao si rafiki kwa wadogo, basi tu ushindani bado.
Ndiyoooo
 
Wanajuta kwa kuwapa gawio kabla ya mahesabu haya kutoka!!! Muda si mrefu itawabidi wapunguze wafanya kazi!!!
Hebu wafanye hivyo haraka,vijana waje mtaani wajiajiri.
 
Nawashangaa eti wanapata hasara! Wamepita na kifurushi changu cha kasi speed internet cha 50,000tsh cha mwezi, 10,000tsh dakika mitandao yote! Nawapigia majibu niliyojibiwa na yule mdada sitasahau! Ndani ya siku mbili bila kuweza kutumia bidhaa walizoniuzia wanaishia kunitumia SMS inayonyesha kuwa nina 0 GB , 0 Dakika! Aisee sawa Vodacom!
Nineshahama lakini ila sitawasahau!
 
Hahahahha pole sana
 
bora mue
Hata sisi huwa tunapata hasara unanunua kifuruchi cha dk 50 hata hujaongea na wapendwa wako wote kifurushi kinaexpire
ndelee kupata hasara ili mkome! Wabongo mna laana ya kisukule sana.๐Ÿ˜‚
 
ndio maana wamekuwa wezi wa fedha za watu kwenye simu, pamoja na kupandisha bei vifurushi maradufu, huku bado vifurushi hivyo ghali wakiwaibia wateja wao. Gb1 ya voda 4g ni tofauti kabisa na Gb 1 ya Tigo 4g katika kuisha kwake.
Mpigwe mpaka mchakae,.kwani mitandao mingine hamna.
 
Wateja wa Voda hiyo hasara wataifidia tu
[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
Ntafurahi kweli wakipasuliwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ maana watu ni wabishi sana. Kifurushi hata cha GB 1 yakiuziwa ef 50 nayo yamo tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
500 dk 15 na dk 5 za saa sita usiku๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
Hahahhaah wahuni na majambazi wabobezi Ltd. Mtapigwa mtachakaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ 1GB lazma muuziwe elfu 12 tu
 
Sa Sasa unachekelea nini wakati ndio wataongeza wizi. Saivi usijichanganye kuacha salio wazi. Utakuta wamenyofoa sh. 100! bila kuelewa au wanakulamba 2000 yako inayoshangaa kwenye account
 
Yajayo...
Sasa najiuliza zile promotion za KUSHINDA mamilioni uwa Ni maigizo?
 
Plus more than 20b zilizokwapuliwa kwa mabavu na wanakijani kutoka huko Vondacom kipindi cha kuelekea tarehe ya uchafuzi. Hapo lazima wanyoroke.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ watakaochapwa hii bakora ni misukule ya 0746,0753
 
Wamepata hasara ndogo hawa majizi. [emoji57]
 
Naomba wafilisike ikiwezekana kampuni ife kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ