Vodacom yapata hasara ya shillingi bilioni 5.06 ndani ya miezi sita kutoka Septemba 2020

Wakati wanatuma SMS mchague huyu, mbona hawakusema kama wana hasara. Nawapa pole sana, walionunua HISA pale
 
Aisee Mimi bado sijapokea aisee. Ngoja nikutumie. Gawio lao mbona la hovyo tu? Hawezi kushindana na kampuni za maana hata tu NMB imewapita mbali sana kwa gawio.
Nina hisa 800 mkuu nimekuta gawio la laki na nusu ukitoa kodi top ikatumwa 142000
 
Aisee Mimi bado sijapokea aisee. Ngoja nikutumie. Gawio lao mbona la hovyo tu? Hawezi kushindana na kampuni za maana hata tu NMB imewapita mbali sana kwa gawio.
Nilikuwa nataka kuziuza nimeghairi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…