Katika kuchakachua modem kwa kutumia DC-unlock, nikosa kubwa ku-write dashboard kabla ku-read dashboard kwanza. inavyotakiwa u-read kwanza ili ui-seve hiyo vodafone dashboard, lakini ukiapandishia tu! basi modem yako haitaonekana tene kwenye my computer ingawa itakuwa taa ya njano iko ON kuashiria modem iko hai, nikwali modem iko hai haijafa, sasa ili uweze kuitumia unatakiwa u-update driver za hiyo modem kwani sasa hiwezi tena kuingiza driver automatic, kisha nenda network connections, create anew connection, next, connect to the internet, set up my connection manually, connect using dial0up modem,ichague ZTE dial-up modem, isp name weka lolote utakalo, phone nomber *99#, password na usename unaweza ukaacha. Add ashortcut piga tick, hiki. umemaliza. kama utaona utaratibu huu ni mrefu sana basi tusubiri wataalam waje na njia mbadala. lakini njia hii ni 100% utafanikiwa.