Voice from within ya ndugu Pascal Mayala ni kweli. Hili limenikuta leo kwenye jackpot ya sportpesa

AKILI TATU

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2016
Posts
2,659
Reaction score
2,827
Ndugu wanabodi kwanza niwape salamu, lakini kipekee nimpe salamu za heshima ndugu yetu hapa jamvini Pascal Mayalla , ambapo amekuwa kitujuza mambo mbalimbali haswa mada zake za Voice from within, binafsi nimekuwa shabiki wake bila kujali mada hizo zinamrengo gani.

Bila kupoteza muda, kama walivyo watu au binadamu wengine kuwa na tamaa ya pesa/maendeleo n.k, hii Jackpoti ya Bilioni Moja ya SpotPesa ilinivutia na kujikuta natamani kushiriki , lakini mara zote na yakati zote nilikuwa nakutana na kauli ya ndani kuwa mda bado usipoteze buku mbili yako kizembe, na hiyo sauti ikawa inanipa muongozo wa nini kufanya.

Na nilipotokea nikaenda kinyume na hiyo sauti i kweli nilikuwa naangukia pua, sasa Juzi jumamosi nikiwa kwenye laptop yangu baada ya kumaliza kazi zangu za kiofisi kwa asubuhi ile mawazo ya kucheki picha/video za kujisisimua yakanijia, lakni ghafla ile sauti kwa mbaaliii...ikanijia ikiniasa..acha muda wa lile jambo limefika bet na ushinde...bana weee...sijui nilishikwa na kigugumizi gani, nikaona muda bado upo nitaweka slot yangu tu..nikazama chimbo nikatazama mauno na viungo vya madem wa kidhungu weee..mpaka nikapitiwa na kausingizi..kuja kutaamaki...saa tisa nafaa kwenda kweye kikao na muda sina wa kupoteza tena..so ikanibidi niende ...nilipofika tu kule around saa kumi, ile sauti ikanijia tena kwa mbaaliii...wiki hili la mwisho...nikajaribu kufosi mambo kikao kilikuwa kirefu...jana jpili sikuwa na stress..leo sasa ndio zile ninge ..ninge zinakuja kwa kasi kichwani kwangu...jackpoti ya Bilioni Moja ya Spotpesa imepata mshindi..

Wandugu hapa nilipo nikama nimemwagiwa tindikali,,,akili imevurugika sio poa.

Je, kumbe ni kweli sometime hizi voice within huwa ni kweli na zinafanya kazi hivi...sasa nimuulize Mzee wetu hapa ndugu, Pascal Mayala. Hizi sauti kwa hakika kabisa inafaa ufanyeje ili unapozisikia usiwe na wasiwasi nazo na kutenda palepale inapokutokea na je hii sauti inaweza kuja kujirudia tena au ndio imepita niaanze kujihesabu nimekosa ridhiki ?..maana mimi niliipuuza.. pengine leo ningeamka Bilionea jameni.
 
Usicheze na ny*ge from within, umedata na vitumbua vya kizungu mpaka jakpot ikakupita bilione from within dah huzuni kichizi
Ndugu wanabodi kwanza niwape salamu, lakini kipekee nimpe salamu za heshima ndugu yetu hapa jamvini Pascal Mayalla , ambapo amekuwa kitujuza mambo mbalimbali haswa mada zake za Voice from within, binafsi nimekuwa shabiki wake bila kujali mada hizo zinamrengo gani.

Bila kupoteza muda, kama walivyo watu au binadamu wengine kuwa na tamaa ya pesa/maendeleo n.k, hii Jackpoti ya Bilioni Moja ya SpotPesa ilinivutia na kujikuta natamani kushiriki , lakini mara zote na yakati zote nilikuwa nakutana na kauli ya ndani kuwa mda bado usipoteze buku mbili yako kizembe, na hiyo sauti ikawa inanipa muongozo wa nini kufanya.

Na nilipotokea nikaenda kinyume na hiyo sauti i kweli nilikuwa naangukia pua, sasa Juzi jumamosi nikiwa kwenye laptop yangu baada ya kumaliza kazi zangu za kiofisi kwa asubuhi ile mawazo ya kucheki picha/video za kujisisimua yakanijia, lakni ghafla ile sauti kwa mbaaliii...ikanijia ikiniasa..acha muda wa lile jambo limefika bet na ushinde...bana weee...sijui nilishikwa na kigugumizi gani, nikaona muda bado upo nitaweka slot yangu tu..nikazama chimbo nikatazama mauno na viungo vya madem wa kidhungu weee..mpaka nikapitiwa na kausingizi..kuja kutaamaki...saa tisa nafaa kwenda kweye kikao na muda sina wa kupoteza tena..so ikanibidi niende ...nilipofika tu kule around saa kumi, ile sauti ikanijia tena kwa mbaaliii...wiki hili la mwisho...nikajaribu kufosi mambo kikao kilikuwa kirefu...jana jpili sikuwa na stress..leo sasa ndio zile ninge ..ninge zinakuja kwa kasi kichwani kwangu...jackpoti ya Bilioni Moja ya Spotpesa imepata mshindi..

Wandugu hapa nilipo nikama nimemwagiwa tindikali,,,akili imevurugika sio poa...je kumbe ni kweli sometime hizi voice within huwa ni kweli na zinafanya kazi hivi...sasa nimuulize Mzee wetu hapa ndugu, Pascal Mayala..hizi sauti kwa hakika kabisa inafaa ufanyeje ili unapozisikia usiwe na wasiwasi nazo na kutenda palepale inapokutokea na je hii sauti inaweza kuja kujirudia tena au ndio imepita niaanze kujihesabu nimekosa ridhiki ?..maana mimi niliipuuza.. pengine leo ningeamka Bilionea jameni...

Uzi Tayari.
 
Haya mambo ya kutaka nchi iendeshwe kwa voices from within ni ya kipuuzi na wala hayana merit yoyote, ni mpumbavu pekee anayeweza kuamini haya mambo ya voices from within- Kwa hiyo kila mtu akija na habari ya voices from within kutaka kuitawala nchi, nchi itatawalika? 🤣 🤣 nonsense
 
but yapo sana ndugu...kama wewe hujawahi kusikia kasauti haka ndani yako kakikuambia kitu kwa kukukataza au kukuhamasisha?
 
Nikajua 'voices from within ' ilikuambia ucheze hukufanya hivyo kumbe 'voices from within' inasikitika mwingine kushinda kweli inasikitisha san
YES..Ukisoma hapo iliniambia nicheze but nikajikuta naendekeza kusafisha macho na pichu za watoto wa kizungu na misambwanda yao..yani ningecheza tu ...leo ningekuwa Bilionea mpya tz
 
Back
Top Bottom