- Thread starter
- #21
Hahaa 😂😂😂😂😂 P6.
Wakati tunaendelea na updates za kesi ya Uhaini dhidi ya Mhe. Lissu
Huyu ndo Shahidi wa kificho siku ya leo kwenye kesi ya Uhaini dhidi ya Mhe. Lissu.
Watu wa maeneo ya Songea mjini bila shaka mnamfahamu, mwambieni aache kutumika.
Haya tuendelee na updates.