Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Mwinyi hawezi kuwa Rais wa nchi mbili tofauti, kashakuwa Rais Zanzibar...Hawezi kuwa Rais wa Tanganyika.
Baba yake alikuwa Rais wa Zanzibar(1984-1985) then akawa Rais JMT(1985-1995)! Kwa CCM hakuna kisichowezekana! Labda tuseme kwa Nafasi ya JMT hawawezi kutawala wazenji kwa vipindi viwili mfululizo unless otherwise kama huu utaratibu ulishakufa baada ya Mkapa!
 

Voice within ya mtu asiye muadilifu na mnyofu Sources from within ni evil.....
 
Kikatiba SSH anaruhusiwa kugombea urais 2025
 
Voice within ya mtu asiye muadilifu na mnyofu Sources from within ni evil.....
Sijisifu kidunia hii, ila mimi nilifa hata leo, ni straight peponi, mkono wa Kuume wa Kiti cha Enzi.
Tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo!, na wewe siku yako ikifika, unaweza kujishaa kukutana na Bush, Blair na Obama upande mmoja, wenu, halafu ukawaona Saadam, Gadafi na Osama upande mwingine, huku kila mmoja amezungukwa na wanawali 70!.
P
 
Polite projection by december expect to fetch tshs 7000/=
No, Kwa Kasi hii ya upandaj yaeza fika 10,000/=, Nan atakubal hayo? Timu Kwa mfano ikiwa na matokeo yasiyoridhisha mfululizo na zimebaki mechi Tano kuinusuru isishuke daraja nini Huwa kinafanyika.? Wamiliki wa Timu hutimua coach analetwa mpya wa kuinusuru isishuke daraja. 2025 mbaal mno.
 
Mkuu Pascal Mayalla ina maana Tanganyika hakuna watu wengine au lazima watoke huko Zanzibar kwa wala urojo.
Mkuu Ngongo , kwanza hakuna mahali panaitwa Tanganyika!. Nchi iliyokua ikiitwa Tanganyika ilikufa ile April 26, na kuzaliwa nchi mpya ya JMT yenye sehemu mbili, Tanzania Bara (iliyokuwa Tanzanyika), na Tanzania Visiwani/Tanzania Zanzibar. Kila Mzanzibari ana haki zote za Mtanzania kama Mtanzania mwingine yeyote, ikiwemo kugombea nafasi yoyote ya uongozi ukiwemo urais wa JMT.
P
 

Na kila Mtanzania Bara ana haki ya kugombea huko Visiwani {Zanzibar} kama jibu ni hapana sasa huu muungano tumeungana wapi ?.
 

Tunaokolewa kwa Neema ni Sawa, free given, but you have to go and receive, ni Sawa Sawa na mtu akwambia Nina 10,000 Bure, ukija Zanzibar kupitia Tanga kwa mashua ya Mkono utaichukua.

Sasa Neema Mungu kaitoa Bure, lakini kuna namna ya kuifuata na kuitunza, sio Bure halafu ipo uwani kwako, hapa kuna principles to go around and take it.
 
Mayalla achana na hiyo mambo ya wanawake urais. Tutaishia kupata mabogas. Ujue siasa za tz wanawake wengi wanabebwa kwenye siasa. Tunahitaji rais bora sio bora rais.
Tunahitaji calibre ya magufuli urais 2025. Sioni hata kwa mbali mwanamke wa aina hiyo. Tunahitaji rais sio mtetezi au mwanaharakati kutetea haki za wanawake..
Mwinyi ndio alikua chaguo la jpm kama makamu wake lakini tukawekewa mtu hafai kwa urais. Huku bara tuna viongozi wazuri kama kassim majaliwa anaweza kabisa kuvaa viatu vya jpm.
Yafaa kama taifa tusipelekeshwe na watu wenye maslahi binafsi ila tuangalie maslahi mapana ya taifa.
 
Kwani wew ulijua zimo kichwani huyo jamaa. Hilo ni lichumia tumbo kanjanja moja hivi. Na unaweza ona amesha bonyezwa kuhusu mpango huo wa hicho Chama Cha Matapeli ili aufanyie promo halafu yeye anajifanya kuota njozi uchwara.
 
Pascal
Unaletaga nyuzi za kizandiki na hovyo. Yaani kwa akili kubwa gani Mwinyi atoke kuke aje kuongoza bara kwa kuwa hakuna binadamu wengine wenye uwezo.
Keki ya Taifa wagawane tu na wewe hnakubali. Tuacheni utopolo.

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Shida siyo Uzanzibari wau Uanamke wake, shida ni Uislam wake.

Nnakuhakikishia kila anaempinga mama humu basi utakuta sio Muislam.
Mimi nadhani uanamke wake ndiyo zaidi na wala siyo dini. Kama wapo wa dini ni wachache sana. Tanzania bado kuna mfumo dume mno!!!! Mbona wakati wa Utawala wa Mwinyi na Kikwete hatukuyaona haya na wao ni Waislam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…