Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Mimi nadhani uanamke wake ndiyo zaidi na wala siyo dini. Kama wapo wa dini ni wachache sana. Tanzania bado kuna mfumo dume mno!!!! Mbona wakati wa Utawala wa Mwinyi na Kikwete hatukuyaona haya na wao ni Waislam?
Labda haukuwepo wakati wa Mwinyi na Kikwete au ulikuwa bado hujielewi.
 
Huyu SSH akikaa na IMF, World bank atasaini mikataba yote ya hovyo. Akatakua anarembua macho tu mshauri wake mkuu Tony Blair akimbwambia saini hapa.


Majaliwa hawezi kufanya huo upuuzi.
 
Umeona Tanganyika hamnazo hata mmoja?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Nyinyi wapambe wa mwendazake mnaweweseka sana. Watanzania sasa hivi wanafuraha ana amani. Mtanzania gani anatamani tena kutawaliwa kama ng'ombe? Mtanzania gani anataka tena maisha ya kutekwa na kuuwawa?

Hatutaki tenaa nchi hii kuongozwa na watu wa kaliba ya Magufuli. Hatutaki kuongozwa na madikiteta. Tunataka taasisi ya uraisi ifanye kazi kama mfumo. Ambacho ndicho Raisi Samia anafanya na kukipigania.
 
Huyu kanjanja pasco anasumbuliwa njaa na ukabila tu. Hana lolote la maana. Kwa jinsi alivyidhalishwa na yule kiongozi dhalimu kutoka kabila lake siku ile alipomuuliza swali usingetarajia aje awe chawa wake! Ni ukabila tu unamsumbua
 
Afisa Kipenyo naona unaongelea kama ndoto hivi ila najua utakuwa unawakilisha mawazo ya Kitengo. Wananchi tumeipokea hoja tutaitafakari. Endelea kutujuza jinsi "situation" itakavyokuwa inaenda😀
 
Kamwe mzanzibari hawezi kuwa rais mzuri bara hata kama alikuwa Rais mzuri zanzibar ....sababu ni kwamba mzanzibari kuwa rais bara kwao huwa ni kama kupewa fadhili hivyo wanaona ni lazima walipe fadhili kwa kuwa furahisha vigogo ambao ni mafisadi na ilo ndiyo linalo mkuta SA100 . Kamwe mzanzibar hawezi vita ya kupambania taifa kizalendo huku bara.
 
Afisa kipenyo na mada chokonozi!

Kuna watanzania wengi Tu!

Hatutaki! Tumeshachoshwa na UMWINYI!

Mabadiliko take 2030!

Mama nasema kazi iendelee...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…