Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
Unadhani kuna Bunge la kumpigia SSH kura ya kutokuwa na imani naye?No, Kwa Kasi hii ya upandaj yaeza fika 10,000/=, Nan atakubal hayo? Timu Kwa mfano ikiwa na matokeo yasiyoridhisha mfululizo na zimebaki mechi Tano kuinusuru isishuke daraja nini Huwa kinafanyika.? Wamiliki wa Timu hutimua coach analetwa mpya wa kuinusuru isishuke daraja. 2025 mbaal mno.
Watabwabwaja Tu, mwisho WA siku hoja hii imeungwa mkono, SIYOOOOO!Unadhani kuna Bunge la kumpigia SSH kura ya kutokuwa na imani naye?
Sijui kwa nini huwa unapenda kujibu watu namna hiyo!!! Kwa taarifa yako nipo toka kipindi cha utawala wa Nyerere. Kama utakuwa umenipita umri itakuwa ni kidogo sana. Uwe unajibu kwa heshima basi hatuko katika mashindano ya kujibu watu vibaya. Wewe si unasema umefundishwa maadili? Basi tuyaone hayo maadili katika majibu yako.Labda haukuwepo wakati wa Mwinyi na Kikwete au ulikuwa bado hujielewi.
Wanabodi
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho.
Hii ni thread ya maono ya unabii, na sio utabiri na sio trends reading, ni unasikia tuu sauti inakuambia jambo fulani bila kuambiwa sababu na huwezi kuuliza, hivyo nami naomba kuwaeleza tuu sauti niliosikia na naomba msiniulize kitu kwasababu sio mimi ni sauti
Leo nilikuwa naandika bandiko fulani humu JF, ndipo ghafla nikaisikia sauti (voices from within) kuwa Rais wa JMT kwa 2025 should be Dr. Hussein Mwinyi kwa kipindi kimoja, then 2030 ndipo tuje na mgombea mwanamke!.
Sauti hiyo inamaanisha inamtaka Rais Samia awe ni Rais wa JMT kwa kipindi kimoja tuu hadi 2025. Sauti hiyo ikasema ni Rais Samia mwenyewe willingly anatakiwa kumuomba Dr. Hussein Mwinyi, 2025 aje kugombea urais wa JMT, kuimalizia awamu yake ya pili ya Rais Samia, kwa awamu moja tuu.
Na kipindi hicho cha 2025- 2030 ndio sasa sasa tufanye grooming ya Mwanamke atakaye kuja kugombea urais wa JMT kwa 2030.
Japo Tanzania, tulipania 2025 twende na mgombea mwanamke, na mimi niliunga mkono hoja hii Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
kama hii sauti ni yake YEYE kweli, then unamaanisha kwa uchaguzi wa 2025, Tanzania tuna mgombea mmoja tuu Mwanamke, yaani the one and only ambaye ama anatakiwa na YEYE apumzike ampishe Mwinyi ama ...
Japo sio sio lazima kusema kila unachosikia, kwa sababu sometimes sio kila unachosikia from within ni sauti kutoka kwa Mungu au ni maono, sauti nyingine ni sauti za shetani tuu na sio sauti za Mungu, kama zilivyo ndoto nyingine, ni ndoto za shetani kama ile "ndoto ya Lema", ukisikia sauti ukahisi inaweza isiwe sauti ya Mungu, au ukiota ndoto ya jambo la ajabu ajabu ukahisi jambo hilo sio la kheri, sio lazima uliseme). Mfano ni tangu August 14, 2014 nilielezwa rais ajaye wa Tanzania ni Magufuli, na nilielezwa sababu kwanini ni Magufuli, nami nikaeleza humu lakini sababu za kwanini ni Magufuli, nilielezwa ila sikuzisema. Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli, hivyo hiyo 2014 wakati nikisema hayo, unaweza kukuta hata JPM mwenyewe alikuwa hajui kuwa ndiye yeye!.
Hivyo hata sauti hii niliyoisikia leo, 2022, kuhusu 2025, usikute hata Mama Samia mwenyewe hajui, kwasababu ni Rais Samia ndiye aliyependekeza 2025 twende na mgombea mwanamke, unaweza kuta 2025 ni Mama Samia anajipanga kuendelea Kwa awamu ya pili, huku Dr. Mwinyi akiji set for his second term in Zanzibar, wala hajui kuwa kuna sauti inamtaka yeye ndiye aje awe rais wa JMT, 2025!, hivyo maono kama haya, yanasaidia sana kujiandaa kisaikolojia.
Hata ile siku niliyoisikia sauti hii
Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini... Spika Job Ndugai hakujua hatakuwa Spika, wala Dr. Tulia hakujua kuwa yeye ndiye spika ajae.
Hata ile siku namzungumzia huyu DC, Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam DC mwenyewe alikuwa hajui, na watu humu wakanidhania mimi ni mtu wa kule naniliu na kudhani nimeleta za jikoni.
Hili sasa ni langu, hili la Mwinyi kuja huku, usikute ni mpango ya YEYE, kumfanya huyu jamaa Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii
Hata wakati nikiandika hayo, Dr. Shein alikuwa hajui, hivyo hata saa hizi, usikute huyu jamaa wala hajajijua kuwa yeye ndiye anapaswa aje awe rais ajaye wa Zanzibar!.
Hitimisho
Kwa vile mimi ni Msukuma, naweza kutuhumiwa ni sehemu ya Sukuma Gang wasiotaka Samia aendelee 2025 to 2030. Naomba kwanza niwathibitishie I don't believe hiki kitu kinachoitwa ,"The Sukuma Gang" kina exist in reality!, hakuna kitu kinachoitwa Sukuma Gang, ni just a fictitious group in mind za watu waliofilisika kimawazo!.
Mimi ni Msukuma na sio Sukuma Gang, ila pia ni Mimi ndio nilimtabiria Samia urais wa JMT toka 2017, Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020
nikamshauri Blaza asigombee 2020 ampishe Samia, but no one takes me seriously, kama sauti hii!, you never know, kama JPM angeusikiliza ushauri wa bandiko hili Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” nilishauri
probably ange...
Mwaka 2020 nikasema humu "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
nilisema
Hivyo it's up to Mama, to decide, kuutafuta ukweli wa sauti hizi, au kuzipuuzia.
Kuna kitu pia nimeambiwa ni kwa nini Mama amuombe Mwinyi, ila sio lazima kusema kila kitu. Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?
Hivyo mpaka umelisikia hili nimelisema, ujue lina maslahi kwa Taifa.
Kitu muhimu ni nimesikia sauti, nimesema nilichosikia, nimetimiza wajibu wangu.
Paskali
(Mzee wa The Voices Within)
Mchango very objective
Mkuu idawa , kwanza asante sana kwa mchango wako na uwezo wako wa kunisoma in between the lines, ila naomba nikuhakikishie, it's not my making, it's the voices from within!.
Sikukisema vyote nilivyo ambiwa, na hiyo sauti labda nikivisema vyote itasaidia kwa kuvi mitigate kabla ya 2025 ili Mama aendelee.
Kinachonifanya nisiseme kila kitu ni kwasababu kauli nyingine huumba!. Nisije nikasema humu, halafu yakatokea ya kutokea tukaaanza kunyoosheana vidole!.
Hata mimi kujiunga JF nikauli za wana JF ile 2008 nikiwa naendesha bike Morogoro Rd mitaa ya Manzese, kuna mwana JF akanianzishia uzi humu kuhusu uendeshaji wangu wa bike.
Kilichofuata hata wiki haikupita... mimi chali!. Uzi ule wa kwanza ukafutwa na kupandishwa uzi huu
Pascal Mayalla apata ajali..... na ndipo nami nikatua rasmi humu JF na baada ya mwaka nikatoa shukrani
Waraka wa Pascal Mayalla - Asanteni Sana!
from then mimi ni mtu makini sana
naamini kwenye nguvu ya kauli Wito Kwa Watanzania:Tuitumie Nguvu ya Kauli, Kumuingiza Ikulu Kiongozi Tunayemtaka!. Mdomo Huumba!.
Mimi ni muumini kuwa humu jf tuna manabii wetu wa ki jf jf TZ Tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!
Pia humu JF tuna wanga wengi tuu Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!
P
Mwenyewe nimeenda kufukua like kaburi lake P la 2025 twende na mwanamke, nikasomaa weeh, nikarudia rudia, kisha huku kusoma tena!Kumbe unaweza kuota sauti ya kushauri! Kushauri inaweza kukubalika au kukataliwa. Vilevile ile sauti iliyosema Rais 2025 ni mwanamke imekuaje tena
Malima Malima,Sokoine Sokoine.Malecela malecela Hawa watu bwana.Kwa hiyo nchi hii ni nchi ya kifalme yaani koo hizo hizo, Kikwete, Kikwete, Mwinyi, Mwinyi, Nape, Nape, Makamba, Makamba.
Upo jikoni nini Mkuu haya sio maono tuliyoyazoea kila ukisemacho kitokee .Wanabodi

Mkuu Kamundu, bandiko ni hili Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! ni passuasive kuwataka Watanzania tuunge mkono hoja ya 2025, twende na mgombea mwanamke, na nikasema mwanamke huyo wa 2025 sii lazima awe yeye Mama, bali yule aliyepangiwa na YEYE. Nikasema kama ni yeye, ndiye aliyepangiwa na YEYE, ni yeye!.Kumbe unaweza kuota sauti ya kushauri! Kushauri inaweza kukubalika au kukataliwa. Vilevile ile sauti iliyosema Rais 2025 ni mwanamke imekuaje tena
Aaah huna la kuwasema hao, bure unajisumbuwa, Mwinyi na Kikwete wameacha alama za uongozi Tanzania hii.Unajulikana wewe vitu muhimu kwako ni udini na unazi wa CCM, hata mdudu kunguni akiwa CCM na mwislam utampa kura yako akuongoze
Sasa kipi kibaya nilichokujibu? Au ukweli unakuuma?Sijui kwa nini huwa unapenda kujibu watu namna hiyo!!! Kwa taarifa yako nipo toka kipindi cha utawala wa Nyerere. Kama utakuwa umenipita umri itakuwa ni kidogo sana. Uwe unajibu kwa heshima basi hatuko katika mashindano ya kujibu watu vibaya. Wewe si unasema umefundishwa maadili? Basi tuyaone hayo maadili katika majibu yako.
Mwinyi hawezi kuwa Rais wa nchi mbili tofauti, kashakuwa Rais Zanzibar...Hawezi kuwa Rais wa Tanganyika.
Kwani wewe ni muislamu[emoji849][emoji849] au ni muisiharamuLabda haukuwepo wakati wa Mwinyi na Kikwete au ulikuwa bado hujielewi.
Nilishasema kitambo HAHM angalieni threads na michango kabla, 2025 ndio mwisho wa Samia na yeye anajua hilo, ifahamike hivyo, tusipuuzwe hatubahatishi kwenye mambo msingi ya nchiWanabodi
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho.
Hii ni thread ya maono ya unabii, na sio utabiri na sio trends reading, ni unasikia tuu sauti inakuambia jambo fulani bila kuambiwa sababu na huwezi kuuliza, hivyo nami naomba kuwaeleza tuu sauti niliosikia na naomba msiniulize kitu kwasababu sio mimi ni sauti
Leo nilikuwa naandika bandiko fulani humu JF, ndipo ghafla nikaisikia sauti (voices from within) kuwa Rais wa JMT kwa 2025 should be Dr. Hussein Mwinyi kwa kipindi kimoja, then 2030 ndipo tuje na mgombea mwanamke!.
Sauti hiyo inamaanisha inamtaka Rais Samia awe ni Rais wa JMT kwa kipindi kimoja tuu hadi 2025. Sauti hiyo ikasema ni Rais Samia mwenyewe willingly anatakiwa kumuomba Dr. Hussein Mwinyi, 2025 aje kugombea urais wa JMT, kuimalizia awamu yake ya pili ya Rais Samia, kwa awamu moja tuu.
Na kipindi hicho cha 2025- 2030 ndio sasa sasa tufanye grooming ya Mwanamke atakaye kuja kugombea urais wa JMT kwa 2030.
Japo Tanzania, tulipania 2025 twende na mgombea mwanamke, na mimi niliunga mkono hoja hii Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
kama hii sauti ni yake YEYE kweli, then unamaanisha kwa uchaguzi wa 2025, Tanzania tuna mgombea mmoja tuu Mwanamke, yaani the one and only ambaye ama anatakiwa na YEYE apumzike ampishe Mwinyi ama ...
Japo sio sio lazima kusema kila unachosikia, kwa sababu sometimes sio kila unachosikia from within ni sauti kutoka kwa Mungu au ni maono, sauti nyingine ni sauti za shetani tuu na sio sauti za Mungu, kama zilivyo ndoto nyingine, ni ndoto za shetani kama ile "ndoto ya Lema", ukisikia sauti ukahisi inaweza isiwe sauti ya Mungu, au ukiota ndoto ya jambo la ajabu ajabu ukahisi jambo hilo sio la kheri, sio lazima uliseme). Mfano ni tangu August 14, 2014 nilielezwa rais ajaye wa Tanzania ni Magufuli, na nilielezwa sababu kwanini ni Magufuli, nami nikaeleza humu lakini sababu za kwanini ni Magufuli, nilielezwa ila sikuzisema. Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli, hivyo hiyo 2014 wakati nikisema hayo, unaweza kukuta hata JPM mwenyewe alikuwa hajui kuwa ndiye yeye!.
Hivyo hata sauti hii niliyoisikia leo, 2022, kuhusu 2025, usikute hata Mama Samia mwenyewe hajui, kwasababu ni Rais Samia ndiye aliyependekeza 2025 twende na mgombea mwanamke, unaweza kuta 2025 ni Mama Samia anajipanga kuendelea Kwa awamu ya pili, huku Dr. Mwinyi akiji set for his second term in Zanzibar, wala hajui kuwa kuna sauti inamtaka yeye ndiye aje awe rais wa JMT, 2025!, hivyo maono kama haya, yanasaidia sana kujiandaa kisaikolojia.
Hata ile siku niliyoisikia sauti hii
Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini... Spika Job Ndugai hakujua hatakuwa Spika, wala Dr. Tulia hakujua kuwa yeye ndiye spika ajae.
Hata ile siku namzungumzia huyu DC, Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam DC mwenyewe alikuwa hajui, na watu humu wakanidhania mimi ni mtu wa kule naniliu na kudhani nimeleta za jikoni.
Hili sasa ni langu, hili la Mwinyi kuja huku, usikute ni mpango ya YEYE, kumfanya huyu jamaa Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii
Hata wakati nikiandika hayo, Dr. Shein alikuwa hajui, hivyo hata saa hizi, usikute huyu jamaa wala hajajijua kuwa yeye ndiye anapaswa aje awe rais ajaye wa Zanzibar!.
Hitimisho
Kwa vile mimi ni Msukuma, naweza kutuhumiwa ni sehemu ya Sukuma Gang wasiotaka Samia aendelee 2025 to 2030. Naomba kwanza niwathibitishie I don't believe hiki kitu kinachoitwa ,"The Sukuma Gang" kina exist in reality!, hakuna kitu kinachoitwa Sukuma Gang, ni just a fictitious group in mind za watu waliofilisika kimawazo!.
Mimi ni Msukuma na sio Sukuma Gang, ila pia ni Mimi ndio nilimtabiria Samia urais wa JMT toka 2017, Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020
nikamshauri Blaza asigombee 2020 ampishe Samia, but no one takes me seriously, kama sauti hii!, you never know, kama JPM angeusikiliza ushauri wa bandiko hili Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” nilishauri
probably ange...
Mwaka 2020 nikasema humu "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
nilisema
Hivyo it's up to Mama, to decide, kuutafuta ukweli wa sauti hizi, au kuzipuuzia.
Kuna kitu pia nimeambiwa ni kwa nini Mama amuombe Mwinyi, ila sio lazima kusema kila kitu. Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?
Hivyo mpaka umelisikia hili nimelisema, ujue lina maslahi kwa Taifa.
Kitu muhimu ni nimesikia sauti, nimesema nilichosikia, nimetimiza wajibu wangu.
Paskali
(Mzee wa The Voices Within)
Mchango very objective
Mkuu idawa , kwanza asante sana kwa mchango wako na uwezo wako wa kunisoma in between the lines, ila naomba nikuhakikishie, it's not my making, it's the voices from within!.
Sikukisema vyote nilivyo ambiwa, na hiyo sauti labda nikivisema vyote itasaidia kwa kuvi mitigate kabla ya 2025 ili Mama aendelee.
Kinachonifanya nisiseme kila kitu ni kwasababu kauli nyingine huumba!. Nisije nikasema humu, halafu yakatokea ya kutokea tukaaanza kunyoosheana vidole!.
Hata mimi kujiunga JF nikauli za wana JF ile 2008 nikiwa naendesha bike Morogoro Rd mitaa ya Manzese, kuna mwana JF akanianzishia uzi humu kuhusu uendeshaji wangu wa bike.
Kilichofuata hata wiki haikupita... mimi chali!. Uzi ule wa kwanza ukafutwa na kupandishwa uzi huu
Pascal Mayalla apata ajali..... na ndipo nami nikatua rasmi humu JF na baada ya mwaka nikatoa shukrani
Waraka wa Pascal Mayalla - Asanteni Sana!
from then mimi ni mtu makini sana
naamini kwenye nguvu ya kauli Wito Kwa Watanzania:Tuitumie Nguvu ya Kauli, Kumuingiza Ikulu Kiongozi Tunayemtaka!. Mdomo Huumba!.
Mimi ni muumini kuwa humu jf tuna manabii wetu wa ki jf jf TZ Tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!
Pia humu JF tuna wanga wengi tuu Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!
P
Hujielewi. Pole yako.Kwani wewe ni muislamu[emoji849][emoji849] au ni muisiharamu
Bibi mdini sugu weweShida siyo Uzanzibari wau Uanamke wake, shida ni Uislam wake.
Nnakuhakikishia kila anaempinga mama humu basi utakuta sio Muislam.
Kwa neno "mdini" kama unamaanisha ni Muislam, basi hujakosea kabisa. Au umemaanisha nini?Bibi mdini sugu wewe
Usipoteze mda umenielewa, kwani uisilamu wa Samia una nithiri kitu gani mimi ? Magufuli alikua mkristo mwenzangu lakini sijawahi mpenda sioni logic yako kwenye angle ya diniKwa neno "mdini" kama unamaanisha ni Muislam, basi hujakosea kabisa. Au umemaanisha nini?