Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Mimi najuwa white paper itawaduwaza wengi. Najuwa Rais ajaye ana andaliwa nanuwenda wapo watu wanamjuwa japo wachache. Sina uwakika sana na mh wa sasa sijuwi ila nyota inaonyesha kumuelekea mtu fulani. Thanks tu wana usalama na Mungu anayelipenda hili taifa. Hakuna aliomba Magu afariki ila alie mpenda ndie alie mchaguwa na koutatatibu kama Rais wosia wake utafanyiwa kaz na usipofanyiwa kazi miaka mitano ijayo tusali sana
 
Ngoja nirudie kusoma tena
 
Hii sauti bado unaisikia mkuu Pascal Mayalla au imekufa kifo cha mende??

Mama kishafanya mengi yakuonesha kuwa anakitaka kiti 2025.
Nakumbuka
(a) Sakata la gazeti la Uhuru.
(b) Sakata la Ndugai.
 
Yaani kazi yako Sasa imekuwa kujaza uwezo wa JF Kwa magazeti yako. Si upeleke kule Uhuru gazette lao.!
 
Mkuu Paschal

Hili andiko umeandika kwa weledi mno. Ni kama yale maandiko yaliyokuwa yakiandikwa kwa Wakorinto (Corinthians of Greece), Waroma (Romans, Italy), Waefeso, Wagalatia na wengineo walikuwa wakipokea maandiko mazito mazito ya rohoni.

Hongera sana.

Amini nakuambia, andiko hili litakuletea shida. Litakuletea shida sana. Lakini utavuka salama na utaishi kuona likitimia.

Nikutakie heri kem kem.
 
Suluhisho la hizi ramli zote ni Katiba Mpya. Rais anachaguliwa na wapigakura baada ya kampeni.
 
We do not like such gender to come to power, especially after witnessing the violation of the manifesto as proclaimed during the campaign rally in 2020. Let Dr. Mwinyi stay in Zanzibar to revamp the mess for ten years. Tanzania mainland needs someone else who works for the people's interests and not as the ruler needs to achieve which doesn't benefit the normal citizens.
 
Pasco hamuungi mkono Samia.
Mkuu Stroke, simuungi mkono kivipi?!.
Kwani sasa hivi Samia ni rais wa JMT, ni yeye Samia aliyeamua kuwa rais wa JMT?.
Kuna wengi wanadhani imetokea tuu kwa kudra za Mwenyezi Mungu, JPM akachomoka, Samia akawa!, its not necessarily that, hiyo kudra ya Mwenyezi Mungu, haijijii tuu, kuna watu wameikudrusha hiyo kudra kwa kauli zao ambazo ndizo zimeumba!. Jee unawajua waliomuumbia Samia urais wa JMT?.
Kasome hapa uwajue baadhi yao "Ombeni Mtapewa", Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je Wajua Kauli Huumba? Angalia Kauli Hizi Ziliumba Nini!. Laiti Zingesikizwa...!.

Watu wamuumbie Samia urais wa JMT kwa nguvu ya kauli zao, kisha useme hawamuungi mkono kivipi?!.
P
 
Yes, ajaye hatotoka Zenji. Tusubiri.
 
Wapo wanamjua anaeandaliwa japo ni Wachache.

Ibaki hivyo hivyo. Ameeen
 
Kifo Cha Magu b4 time kimevuruga s100 asimalize term mbili,

Pia kimezima possibility ya mwinyi kuja kuwa Rais bara sababu ya s.100 intervation Kutoka Zenji.

Ajaye atatoka Bara na ni MLAWI......., Calculate vizuri watu wenye akili.
Ameeen.
 
Hii sauti bado unaisikia mkuu Pascal Mayalla au imekufa kifo cha mende??

Mama kishafanya mengi yakuonesha kuwa anakitaka kiti 2025.
Nakumbuka
(a) Sakata la gazeti la Uhuru.
(b) Sakata la Ndugai.
Mkuu Sexless, kuna sauti na sauti, nyingine unaisikia mara moja tuu, nyingine zinajirudia rudia, kwa vile hoja za sauti hii sio zangu na ni za 2025, then lets give it time.

Mama pia ni binadamu na sio malaika, hivyo she can't be perfect, the best thing is tum support na kumsaidia kadri iwezekanavyo ili a do the right thing at the right time and do it right. Miongoni mwa misaada mikubwa na muhimu, ni msaada kama huu wa kimsikilizisha sauti kama hizi.

Mimi ni miongoni mwa washauri wa bure wa kujitolea, kwenye hili la kugombea 2025, tumeshauri ... Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
P
 
Pia kimezima possibility ya mwinyi kuja kuwa Rais bara sababu ya s.100 intervation Kutoka Zenji.
Kwa vile Mama ni kutoka Zanzibar, hivyo it is presumed hii ni zamu ya Zanzibar, na kwa vile hii ni awamu yake ya kwanza, awamu yake ya pili ni 2025, hii maana yake hakuna mwana CCM anayeruhusiwa kuchukua fomu 2025, ni inatolewa fomu moja tuu!.
Kama hii sauti niliyousikia ni yake YEYE, then 2025 ni awamu ya pili ya zamu ya Zanzibar, hivyo ikitokea Mama akaisikia hii sauti, kuliko kupoteza both urais wa zamu ya Zanzibar na kuipoteza zamu ya Zanzibar, then bora Mama ampe Mzanzibari mwingine kuimalizia zamu ya Zanzibar!, who is Mzanzibari huyo better than Dr. Mwinyi?.
Ajaye atatoka Bara na ni MTUMISHI........, Calculate vizuri watu wenye akili.
Ameeen.
Pia siwezi kukubishia maana kuna wenzetu humu, mna pose kama wenzetu na sisi humu tunawaona kama wenzetu tuu, kumbe sio wenzetu bali ni wale jamaa zetu walee!.
P
 
Bado unaisikia sauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…